CHAUMMA Tanzania
Member
- Oct 1, 2020
- 7
- 22
We unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za TanzaniaNyinyi si ni vibaraka wa CCM, hiyo ni danganya toto ionekane na vyama vingine imegomewa na si CDM na ACT peke yao.
Siumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!We unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za Tanzania
BAK nisaidie kumjibu maana hatanielewaWe unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za Tanzania
BAK eti nimedanganya?Siumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!
Kunywa dawa upone uondokane na huu ujinga wa kuropoka ropoka !moja kati ya vyama bandia kwa hisani ya ccm
CHAUMMA Tanzania na huyu anaumwa?moja kati ya vyama bandia kwa hisani ya ccm
Afadhali nyie mnajibu maswali kuliko Membe.We unaumwa eeh , kibaraka iwe CHAUMMA !? ebu pima Vizuri andiko lako .Labda hufatilii Vizuri Siasa za Tanzania
Wewe kundi lako Itakua la kukosa ... Fuatilia Mambo Vizuri usiwe unaropoka Hovyo weweSiumwi! Wapinzani wa kweli ni CDM na ACT! Hamjawahi kukemea UOVU wa CCM hata mara moja, sana sana ni kupongeza mauaji, utekaji, uporaji wa demokrasia etc etc etc! Wengine nyote ni matawi ya CCM! Salary Slip naomba umweleweshe huyu jamaa yetu kuwa walio na akili wanawaelewa hivyo!
Daaah vipi kuna ubwabwa huko leo kweli??Kunywa dawa upone uondokane na huu ujinga wa kuropoka ropoka !
Nyie si ndio mnaotumika kupeleka mapingamizi tume ya maadili kufungia watu kampeniTunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-
1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru
Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.
Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.
Jibu swali, CHAUMMA mmewahi kumkemea Magfuli kwa yaliyotokea miaka 5? Tuanzie hapoWewe kundi lako Itakua la kukosa ... Fuatilia Mambo Vizuri usiwe unaropoka Hovyo wewe
MAPANDIKIZI katika ubora wenu, hatudanganyiki mkatafute mbinu nyingine.Tunapenda kuufahamisha UMMA kuwa wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo yafuatayo wamegoma kuwaapisha mawakala wetu:-
1) Bariadi
2) Bunda
3) Sinyanga Mjini
4) Morogoro Mjini
5) Chemba
6) Alumeru
Pamoja na maeneo mengine mengi, Pia kwa upande wa Zanzibar (Chakechake) mawakala wetu wa CHAUMMA wamegomewa kupatiwa vitambulisho vya uwakala.
Natoa wito kwa TUME ya UCHAGUZI kutenda HAKI kwa vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu-2020 wa Madiwani, Wabunge na Uraisi Tanzania bara na Visiwani kwa mujibu wa SHERIA za UCHAGUZI na KATIBA ya nchi yetu ili UCHAGUZI unaotarajiwa kufanyika 28 Oktoba 2020 ukawe wa HURU na wa HAKI.