Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.
Naunga mkono hoja kwa 100%,ila angalizo ni kwamba na nyie wanawake wa siku hizi ni lazima muwe na sifa na haiba ya kike,...ni jirani yangu mke wake anapenda mabif na kumfokea mumewe mbele za watu(ana tabia za kibabe),..mumewe akimwambia aache na anyamaze_anakuja juu 'ebu nipige kama wewe ni mwanaume'...sasa kwa mazingira hayo unaweza fanya lolote bila kukusudia,...ila tabia ya kupigana ni hovyo sana
Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.
Ni sawa IGWE ila kuna namna za kueleweshana mambo sio lzm kudundana jamani,amsubiri wakati hana hasira amwonye na kumweleza anachofanya sio kizuri ataelewa tu,na hatakuwa hivyo tena!Naunga mkono hoja kwa 100%,ila angalizo ni kwamba na nyie wanawake wa siku hizi ni lazima muwe na sifa na haiba ya kike,...ni jirani yangu mke wake anapenda mabif na kumfokea mumewe mbele za watu(ana tabia za kibabe),..mumewe akimwambia aache na anyamaze_anakuja juu 'ebu nipige kama wewe ni mwanaume'...sasa kwa mazingira hayo unaweza fanya lolote bila kukusudia,...ila tabia ya kupigana ni hovyo sana
mwanaume kumpiga mpenzi/mke wake ni kitendo cha udhaifu na sihafiki nacho kabisa....
Kwanza mwanamme anaempiga mwanamke mie wala simuoni mwanamme,namuona kama mwanamke mwenzangu,sababu mwanamke ni sawa na mama yako sawa na dada yako au mwanao vp umpige mtoto wa mwenzio kama mtumwa, halafu huoni haya usiku unamvua chupi? yani duh mie siwezi yani siku yakupigwa ndio talaka yenyewe hio hio loh.......
aiseeeeeeeeeee!
Nakuunga mkono kwa sana tu, wanaume dizain hii ni ubabe,ushamba na kutokujiamin tu ndio kunawasumbua na wengi wao tabia hii wanaendanayo mapaka wanazeeka! ni tabia mbaya sana.