Kutoa hazina ya mjerumani

Kutoa hazina ya mjerumani

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
431
Reaction score
211
Wakuu kwema? Nadhan mmeshasikia sana kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani kipindi cha zamani, sasa kuna nyumba moja iko tanga ilikuwa inakaliwa na wajeruman na kwa sasa inamilikiwa na mtz, nyumba hiyo ina viashiria vyote vinavyoonyesha kuna mali ziliachwa ( ), mwenye nyumba anatafuta mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kutoa hizo mali.
So if u knw anyone tutafutane
 
ukianza tu hizi mishe jiandae na yafuatayo
1. Kupoteza muda
2. Kuwa chizi au kuwehuka pasipo wewe kujijua ila sisi wa nje tutaanza kukuona.
3. Kuuza mali zako sababu ya kupata hela kugharamia utafutaji wa "mali za mjerumani"
4. Kuvunja mahusiano na watu wako wa karibu hata ndoa yako kama unayo sasa wakikushauri utaona wabaya wanakupitisha wrong turn na utajiri wa kufikirika
5. Kuingia kwenye ushirikiana kwa kujua au kutokujua ila lazima tu utaingia
6. Kuingia kwenye utapeli kujua au kutokujua ili mradi upate Hela ya kugharamia utafutaji wake.

HIZI DALALI UNAWEZA KUZIKWEPA MAPEMA KAMA UTASOMA NA KUELEWA MLETA MADA
 
Umesahau KUFIRW@ au kugegedwa kwa wanawake kwenye harakati za kutafuta pesa za mjerumani.
Very sorry nimetumia lugha kali ili nieleweke kwa urahisi maana watu wa dunia ya leo si wepesi kuelewa.
"Ashakum si matusi"
 
Iyo diabre ya zamani ndio unaleta now si ni kwake achimbe atajirike na ukoo wake.
 
Nashukuru kwa wote waliocomment, hata kwa wale waliotumia maneno makali, najifunza, mimi sio mzoefu sana na hizo mambo ila mwenyewe mwenye nyumba ndio aliyenipa hii habari, na anasema alishaleta watu kuja kupima na wamemthibitishia
Inshu kama baadhi walivyosema inahitaji mtu mwenye knowldege flan hv (kishirikina) ili uweze kuvitoa
 
Hahaaa Aisee naona unafuta kutoka. Eti Mali za Mjerumani. Watu wanaunda Masimu wakina Apple wakina HUWAWEI wanakomaa na 5 G sisi tunahangaika na mambo ya Mjerumani.

Huo ni utapeli hakuna kitu hapo
Wakuu kwema? Nadhan mmeshasikia sana kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani kipindi cha zamani, sasa kuna nyumba moja iko tanga ilikuwa inakaliwa na wajeruman na kwa sasa inamilikiwa na mtz, nyumba hiyo ina viashiria vyote vinavyoonyesha kuna mali ziliachwa ( ), mwenye nyumba anatafuta mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kutoa hizo mali.
So if u knw anyone tutafutane
 
Wakuu kwema? Nadhan mmeshasikia sana kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani kipindi cha zamani, sasa kuna nyumba moja iko tanga ilikuwa inakaliwa na wajeruman na kwa sasa inamilikiwa na mtz, nyumba hiyo ina viashiria vyote vinavyoonyesha kuna mali ziliachwa ( ), mwenye nyumba anatafuta mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kutoa hizo mali.
So if u knw anyone tutafutane
Utapeli wa aina hii peleka facebook,huku watu wana akili zao wanajitambua
 
ukianza tu hizi mishe jiandae na yafuatayo
1. Kupoteza muda
2. Kuwa chizi au kuwehuka pasipo wewe kujijua ila sisi wa nje tutaanza kukuona.
3. Kuuza mali zako sababu ya kupata hela kugharamia utafutaji wa "mali za mjerumani"
4. Kuvunja mahusiano na watu wako wa karibu hata ndoa yako kama unayo sasa wakikushauri utaona wabaya wanakupitisha wrong turn na utajiri wa kufikirika
5. Kuingia kwenye ushirikiana kwa kujua au kutokujua ila lazima tu utaingia
6. Kuingia kwenye utapeli kujua au kutokujua ili mradi upate Hela ya kugharamia utafutaji wake.

HIZI DALALI UNAWEZA KUZIKWEPA MAPEMA KAMA UTASOMA NA KUELEWA MLETA MADA
Kuna mzee mmja alikuwa balozi wa nchi za nje(R. I. P) smbdy R. L msomi mzuri tu watu walimuingizaga king kwenye mambo hayo
Na yeye akajaa nlipingana naye masuala haya
Alipoteza Hela na muda mwingi zaidi ya maneno tu....
Mwishowe alikuja kukiri kuwa mambo haya ni fiksi

Ova
 
mkuu utapoteza muda wako
Nashukuru kwa wote waliocomment, hata kwa wale waliotumia maneno makali, najifunza, mimi sio mzoefu sana na hizo mambo ila mwenyewe mwenye nyumba ndio aliyenipa hii habari, na anasema alishaleta watu kuja kupima na wamemthibitishia
Inshu kama baadhi walivyosema inahitaji mtu mwenye knowldege flan hv (kishirikina) ili uweze kuvitoa
 
ayo mambo yapo..kuna mbunge mmoja katika mkoa fulani alibeba mzigo mkubwa somewhere....ila pia kuna ponzi scheme kuhusiana na izo ishu...na mimi nshawahi kushiriki izo ishu...kuna mitego ya sumu,baruti,,majini_,aisee na mganga hadi awe wa kijerumani ndo atengue codes..bila ivo rest in peace in advance...mimi najua site mbili zenye iyo makitu tena chini ya nyumba kama izoizo na wala sithubutu kuchimba..kuna mzee alichimba kidogo akavunja bomba la mtego lenye sumu ndani aka pararaizi adi leo...nategea wakija wajerumani kujifanya kusaidia kujenga huduma za kijamii eneo lile nawaungia napitia mgongo wao kupata mzigo,,unless otherwise labda kama hupendi kumuona kajala masanja na irene uwoya instagiramu,ndo uende ukachimbe
 
ayo mambo yapo..kuna mbunge mmoja katika mkoa fulani alibeba mzigo mkubwa somewhere....ila pia kuna ponzi scheme kuhusiana na izo ishu...na mimi nshawahi kushiriki izo ishu...kuna mitego ya sumu,baruti,,majini_,aisee na mganga hadi awe wa kijerumani ndo atengue codes..bila ivo rest in peace in advance...mimi najua site mbili zenye iyo makitu tena chini ya nyumba kama izoizo na wala sithubutu kuchimba..kuna mzee alichimba kidogo akavunja bomba la mtego lenye sumu ndani aka pararaizi adi leo...nategea wakija wajerumani kujifanya kusaidia kujenga huduma za kijamii eneo lile nawaungia napitia mgongo wao kupata mzigo,,otherwise labda kama hupendi kumuona kajala masanja na irene uwoya instagiramu,ndo uende ukachimbe
Nashukuru kwa kunisaidia, jinsi ya kuwa na connection na hao wajeruman sasa
 
Nashukuru kwa kunisaidia, jinsi ya kuwa na connection na hao wajeruman sasa
hao ngumu kuwapata ila subiria ukiskia kuna project iv au msaada wa wazungu kutaka kuboresha mazingra karbu na mali ilipo ujue ndo washakuja kuchukua vyao...nawe unajpendkeza ad unakua karbu nao..mengne utajiongeza
 
Wakuu kwema? Nadhan mmeshasikia sana kuhusu mali zilizoachwa na wajerumani kipindi cha zamani, sasa kuna nyumba moja iko tanga ilikuwa inakaliwa na wajeruman na kwa sasa inamilikiwa na mtz, nyumba hiyo ina viashiria vyote vinavyoonyesha kuna mali ziliachwa ( ), mwenye nyumba anatafuta mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kutoa hizo mali.
So if u knw anyone tutafutane
KUKU KUCHI NA MALI ZA KALE ZA MJERUMANI.

Uhusiano kati ya Mali za Mjerumani na Biashara ya Kuchi.
Watu wengi wamejikuta wanafilisika kutafuta mali za mjerumani mara birika mara pasi mara sijui sarafu ya mjerumani. Haya mambo yamekuwa yakivuta watu wengi kuingia kutafuta Mali za mjerumani.

UKWELI ULIVYO
Hakuna demand ya pasi wala birika la mjerumani kokote kule duniani.
I
Utapeli hui ulianza miaka mingi sana sasa hata baada ya matapeli kuacha muendelezo umekuwepo.
Matapeli walikuwa wana create Demand wao wenyewe kwa njia hii.
Tapeli anakuja kijijini au town anakuambia kuna wazungu wanatafuta birika la.mjerumani au pasi ya mjerumani au mali yoyote ile na watakuambia inatafutwa Nairobi au kokote kule na watatangaza Dau kubwa sana watakuambia hata Millioni 200 wewe utahamaki na utaanza kujiuliza utaipata wapi? WAO WATAONDOKA

WATATUMA MWENZAO TOFAUTI KABISA atafika mtaani atasema anasikia kuna Passi ya Mjerumani iko hata Songea au Lushoto na kuna mzee anayo atatoa link kwamba wanasikia kijiji fulani au eneo fulani kuna mtu analo hilo birika,

Wewe utaanza safari ya kutafuta hiyo Mali na utafika sehemu ulio elekezwa kwamba ipo. Ukifika kweli utaikuta na mwenye nayo atakuambia anauza kwa bei kadhaa hatataja kubwa sana kama jamaa waliokuambia milioni 200 jamaa anaweza kukuambia anauza kwa milioini 15.

Hapo utaona umasikini umeisha. Utatafuta pesa hata ikibidi kuuza shamba na nyumba na utanunua hiyo mali, Sasa kimbembe ni kuiuza, hao wanunuzi hutawaona wala kuwasikia tena, na unabakia na mali ya mjerumani.SO ALIE KUUZIA NA ALIE KUAMBIA INATAFUTWA SANA, WOTE NI KITU KIMOJA Jamaa walifanya utapeli kwa muda mrefu na wengi wamefilisika bila kujua watu wameishia hadi kwenda kwa waganga wakitafuta hiyo Mali

SASA NA WEWE UTATAFUTA WATU WA KUWAKAMATISHA HIYO PASS YA MJERUMANI.

KUCHI
Demand ya kuchi haipo na haina uhalisia,ni sawa kabisa na mchezo wa Mali za Mjerumani, mtu anaye fuga kuchi ukimuuliza atakuambia wana soko Uarabuni, Mara Pemba wanahitajika sana mara Kuna Waarabu Mombasa wananunua, ila yeye halijui hilo soko, so imejengeka hivyo hivyo kwamba kuna soko la kuchi mara Waarabu wanawataka kuchi,
Wengi hatujui huu mchezo wa kuchi tumekuwa tunauziwa bei za juu mno na anaye nununu ukimuuliza atakuambia anasikia yaani ni mwendo wa kusikia tu, ni fulu kusikia mara nimeambiwa mara wanasoko kubwa sana il halijui

SOKO KWA SASA
Kwa sasa kuna soko la Farmer to Farmer na hii ni sawa na ilivyo kuwa soko la kware na ni sawa na soko la Sungura pia, kila anaye nunua Kuchi anaenda kufuga ukimuuliza atakuambia kuchi wana soko,kuchi wana bei kubwa.
Sasa mwenye ushahidi wa soko aweke hapa, alie wahi ku export Kuchi aweke coppy za Export permit make huwezi export live animal bila kibali haipogo hiyo.

Na Kuchi hata Kenya wapo ila hawana hizo bei za huku Bongo na Kenya hakuna story za waarabu kuwanunua, why Waarabu watake tu kuchi wa Tanzania?

Kuchi ni sawa na Mali za Mjerumani ni watu walikaa chini wakatengeneza Demand ili wapige pesa, sasa muendelezo unaendelea na wengine wanaingia kingi bila kujua mchezo.

Mwenye ushahidi wa Waarabu kununua kwa hizo bei aweke hapa ushahidi sio wa maneno bali mtu a prove beyond dought.

HAKUNA DEMAND YA KUCHI ILA NI WATU WANA CREATE DEMAND WAPIGE PESA HATA KAMA UTAPELI ORIJINO ULIISHA ILA MWANGWI UNAENDELEA HADI SASA.

Anaye Jua Ukumbi wanako piganisha kuchi atuelekeze tukaingie tuona au ni siri? Kama ni siri yeye alijua vipi?

Kitu watu wasicho jua ni kwamba Kuchi hawapo Tanzania pekee wapo malawi wapo Zambia wapo Zimbabwe wapo Botswana na wapo Kenya ila hizo story hazipo huko.
g4cool Nazani umepata jibu sasa.
 
Back
Top Bottom