ndio nini hiyo mkuu?Probably Chronic Rhinosinusitis.
Huyo ni yeye nwenyewe mtoa harufu mbaya puani. Unaona hata post zake zilivyo na harufu mbaya?Rafiki yako au ww mbna watu wengne hua hawajiamin kwenye mambo zao
Kwenye paji la uso(skull) kuna maeneo ya wazi ambayo yana kazi kadhaa ikiwemo kufanya fuvu liwe jepesi,kusaidia ukuaji mzuri wa fuvu,kurekebisha hewa iingiayo puani iwe na unyevu mzuri nk...sehemu hizi huitwa SINUSES....zipo za aina nne kulingana na location...ndio nini hiyo mkuu?
bado hujarudi tu?Nitajibu nikirudi
duuh!!Huyo ni yeye nwenyewe mtoa harufu mbaya puani. Unaona hata post zake zilivyo na harufu mbaya?
Kama bado hujapata majibu soma link hapaWajameni kuna hili tatizo lakutoa harufu puani
Nina rafiki yangu nashindwa kumueleza kutokana na ukaribu nilionao nayeye hakika ukiakaa karibu nae anatoa harufu mbaya puani nashidwa kulewa tatizo nn, kama kunaayejua tatizo linasababishwa nann na tiba nn tujuzane jameni, ahsante
Mkuu umeeleza vizuriKwenye paji la uso(skull) kuna maeneo ya wazi ambayo yana kazi kadhaa ikiwemo kufanya fuvu liwe jepesi,kusaidia ukuaji mzuri wa fuvu,kurekebisha hewa iingiayo puani iwe na unyevu mzuri nk...sehemu hizi huitwa SINUSES....zipo za aina nne kulingana na location...
Juu kabisa ya uso kuna Frontal Sinuses then kati ya macho kuna Ethmoid Sinuses....pembeni ya pua kuna Maxillary Sinuses na pembeni kabisa karibu na masikio kuna Sphenoid Sinuses.
Hizo zote huwa zina majimaji(yenye uzito na unene specific) ambayo humwagwa kwenye njia ya pua na either kumezwa au kutoka nje ya pua kama kamasi nyepesi.
Ikitokea maeneo hayo tajwa yamepata maambukizi(bacteria,virus,fungus) basi majimaji yake hubadilika uzito na unene wake na hivyo huenda hata njia ya kuyafanya yashuke chini huzibika.
Kwa namna hiyo basi maji hayo hugeuka kuwa mazalia ya bacteria/fungus na kutoa harufu kali.
Mara nyingi muhusika huwa hasikii harufu hiyo kwa kuwa eneo ambalo linamfanya mtu aweze kunusa harufu lipo katika pua pia(Olfactory area)...hii huitwa Ozaena.
Cha kufanya...
Muhusika aende kwenye hospital yenye wataalamu wa ENT(Otorhinolaryngologists) ili aweze kufanyiwa uchunguzi katika njia ya hewa na Sinuses...
Kama ikithibitika basi kuna dawa atapewa lakini pia anaweza kufanyiwa operation ya kusafisha eneo husika.
Post sent using JamiiForums mobile app