Kutishiwa kwa Zitto na Mageuzi ya lazima kwa TISS

Usifananishe tiss na idara kama afya.. Elimu nk halafu kauli yako ya mwsho inadhihirisha its vice versa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooopsss thank God I am done with you ... Hoja zimekuishia naona ...

Sasa unanishurutisha bila ya kunipa sababi kuwa nisifananishe TISS na taasisi za afya au elimu ... Kwa Nini???

Halafu unanikosoa bila ya ufafanuzi ... kwamba kauli yangu ya mwisho inadhihirisha vice versa ...

Sasa si uivaisi versue basi kwa maelezo hapa watu waone waelewe na wengine tuelimike hivyo ndivyo GT walivyo humu ndani au ???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinaonekana wazi machoni kuwa Ni za kijinga na zimepitwa na wakati, Mfano Ni Kama staili ya kumuibua Dr. Shika ili kuwapoteza lengo wananchi wajinga ...

Au kutaka msafisha Mkulu kwa staili ya kutengeneza tatizo halafu Lina shughulikiwa na mkuu ili kupata pongezi nakujenga imani ya wananchi kwa mkuu ...



Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuruhusu hisia zako zizidi kiwango cha kufikiri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooopsss thank God I am done with you ... Hoja zimekuishia naona ...

Sasa unanishurutisha bila ya kunipa sababi kuwa nisifananishe TISS na taasisi za afya au elimu ... Kwa Nini???

Halafu unanikosoa bila ya ufafanuzi ... kwamba kauli yangu ya mwisho inadhihirisha vice versa ...

Sasa si uivaisi versue basi kwa maelezo hapa watu waone waelewe na wengine tuelimike hivyo ndivyo GT walivyo humu ndani au ???????

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukashangiliwa sana na watu ukajua wote wanakupongeza kumbe lahasha

Nielewe kwmb kama kweli zitto alitishiwa je kutweet ndo kutoa taarfa???? Je kuna shaidi yoyote pindi anatishiwa kuuliwa??? Je kajuaje huyo ni tiss??? Na kama ndo yey je unafikir tiss wanaakili za kisiasa kama za zitto kwamba muonyeshe kitambulisho??? Au alikuwa na sare za tiss??? Je uthibitisho wa haya yote u wapi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa na asilimia fulani za ukweli kuhusu hiyo TISS .
Lakini umeandika kwa muhemko kiasi kwamba wewe umekuwa boya kuliko unaowatuhumu.
Mathalani mbinu wanazotumia akili yako ina mbinu moja tu na unadhani kuwa hii taasisi kuwepo kwa mujibu wa sheria nikuwa wazi kwa kila jambo au kufikiri kuwajibika kwa mihimili mingine kwa uwazi zaidi lkn nataka nikwambie kuwa nchi nyingine hizi taasisi ni independent agency yaani haziwajibiki kwa yoyote ziko huru ila zipo kikatiba.
Kwa taarifa yako hata kutunisha msuli kwa adui yako japo huna lengo la kupigana naye ni Mbinu ya kum neutralize hata kum defeat. Sasa chukulia iwe kweli huyo ametishiwa kuuawa na sasa kisaikolojia amevurugwa huoni kama lengo limetimia?
Kama unaowajua ni Tiss mazuzu kama unavyodai na waliingia kwa mgongo wa ujomba na kukosa professionalism hiyo nikukosa weledi wa hao wajomba vinasaba ambavyo umeonesha kuwa navyo kwa ukaribu sana .
Kama wewe ni mkweli uncover ID yako ujulikane weka contact zako hapo nitajua wewe ni jasiri uliyetayari kufia nchi na kile unaamini otherwise ni zuzu tu
Mwisho huenda unasumbuliwa na Wivu maana umeonesha wanajidai na vitambulisho vyao sasa kwanini utamani kufanya mabaya na kupata feva ya ID?
Kwa taarifa yako TISS ina watu wa aina zote mazuzu watashughulika na mazuzu wenzao kila ili kufanikisha. Je hukawahi sikia kuwa kuna wanawake wanfanya ufuska na kutoa papuchi kupata information? Je hao ni malaya?
Ila NIKUPONGEZE kuwa hata wewe ni asset kulingana na mahali unatakiwa kutumika japo IQ yako si lazima iwe kama yule zipo mission hutatumwa maana ni kilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhukumu taasisi nzima na kuita jina la maudhi yaani kuita taasisi nyeti PANYA ROAD sio busara kwa tukio labda kafanya afisa mmoja tu.

Tubadilike kama watanzania hii taasisi ina heshima yake na ndio roho ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wao hajui wanayotenda au hahusiki nayo ? ajitokeze kusafisha taasisi yake basi , vinginevyo uzi huu utasimama milele
 
Mkuu wao hajui wanayotenda au hahusiki nayo ? ajitokeze kusafisha taasisi yake basi , vinginevyo uzi huu utasimama milele
Mkuu hivi tukio la kutishiwa Zitto kuawa ushahidi gani ulioletwa humu kwamba hilo jambo kweli limetokea?

Kuna muda humu tunachangia tetesi tu lakini uchangiaji wetu tunaonyesha kama tulikuwepo eneo la tukio.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo tuambie ww unamjua Zackary, afu uje uelezee tukio la Nape kutolewa bastola mbele ya kadamnas...
Hiyo weakness si ya kwanza dunia
1. Rais mstaafu aliwahi pigwa kibao hadharani sehemu fulani
2. Ali Agea alichapa risasi pope Paul hadharani akiwa amezungukwa na secret security service
3. J.F. kenedy aliuawa kimtego hadharani
4. George Bush jr alikwepa kiatu cha uso akiwa na press hadharani
5. Msafara wa waziri mkuu ukiwa intel security service uliingiwa na kupiteza maisha ya kiongozi.
Hata la mzee wa bao alitolewa chuma hadharani kuzuia asiongee beyond kama kiongozi mi sishangai kwani kama mmejiapiza kutunza siri hata kama ni za kijinga wenzako wata ku silence kwa njia yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TISS wanaajiri baadhi ya wale vijana toka JKT(hasa maafisa wa vyeo vya chini) ambapo wengi wao wana four za division ya 28,29 mbaka 30(ushahidi ninao) so hapo unategemea professionalism itoke wapi!!



5/5.
Nani anawaambia TISS inaajiri watu waliopata one? Kwa taarifa wapo ambao hata kusoma na kuandika hawajui. Wapo wasanii wa hip hop wapo waosha magari yenu wapo wa dada poa . Ikijua muunda na namna ya kyfanya kazi huwezi uliza. Wapo snipers tu . Hivi kudungua inahitaji degree ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom