Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,462
- 110,222
Missed youWengi wanaoongeaga hivyo wanasukumwa na jazba tu wala hawamaanishi, ndio maana akili zikiwatulia wanaomba msamaha mrudiane
Missed youWengi wanaoongeaga hivyo wanasukumwa na jazba tu wala hawamaanishi, ndio maana akili zikiwatulia wanaomba msamaha mrudiane
Hili ni wazo na ushauri bora katika swala hilo.Jitahidi usifanye matendo ya kumuudhi mwenzio, kuna muda mwingine watu huwa wanaona bora kulikimbilia pengo kuliko kuendelea kugugumia na jino bovu
Ni kweli usemalo,muda wote katika mahusiano yenu yatatawaliwa na kutishana na kwa bahati mbaya sana moyo huchoka vitisho na hatimaye unayemtishia anaweza kufanya kweliHili ni wazo na ushauri bora katika swala hilo.
Lakini ninapopenda kuzungumzia Mimi ndoa za zina hii zinakuwa hazichapevuka na kukomaa kwani kwa watu mliojitayarisha na mkaamua kwa dhati kuoana jambo la kutishana haliwezi kuwepo.
Lakini pia ndoa za kutishana tishana hatimaye huvunjika sababu muhimili wa ndoa hizo huwa si imara kutokana mazingira hayo ya ugomvi na kutamkiana maneno makali.
Miss you too DarlingMissed you
Jaribu kurekebisha ila ukishindwa bwaga manyanga tu ili ajue you can survive even without him/hernijipange kufanya yangu mapemaaaa
why you disappeared..? Sonce aprilMiss you too Darling
overwhelmed responsibilities ndugu yangu, acha tu ni mchaka mchakawhy you disappeared..? Sonce april
Pole sana..ila maisha hayajawahi kua slow kila siku mchaka mchaka so relax andtake your time to live not to work. Maisha yapo hivi kila sikuoverwhelmed responsibilities ndugu yangu, acha tu ni mchaka mchaka
Bado anaendelea kukutishia?hivi kuna aliyewahi kupitia hili!
unakua na mwanaume au mwanamke ambaye mkigombana kidogo tu anakutushia kuanzia leo mi na wewe basi
mara nitambue kama mzazi mwenzio tu kuanzia leo
hivi hii inaashiria nini
baada ya muda mfupi anaomba msamaha na kukanusha kauli yake
Mkuu,