....Kuthubutu!

Ahaa swali hili limenifanya nifikirie kwa kina maana ya zile 'engagement rings' zinazotolewaga kama surprise! hivi mdada si anaruhusiwa kuikataa na kuomba muda wa kufikiria kwanza au ?? Lol saa ingine zile nazo zinaactigi kama viwamba sauti ati mtu mwingine anaona kabisa huyu bwana huyu hata, but akisapraiziwa anaishia kusahau mapungufu hah

Mi staki

jamani sitaki kuamini kama watu watatania hata katika hili eti Mwanajamii one.Hivi kweli ndoa inasuprise? eti unafanyiwa engagement kwa suprise? huu ni uongo kabisa na wala kweli haimo mioyoni mwa watu hawa wawili. ndio maana yanawatokeaga puan unaveshwa hata mara sita.

jamani kweli mabinti sikilizen ushauri hapa jamvini, bf asikwambie kuwa anakusuprise kwa engagement jamani hebu tathmini kwanza are you real serious? je uko devoted kwake? je mapungufu yake ni changamoto kwako ama ni kiroba cha lawama na manyanyaso umejibebea? au je wewe wavaa hiyo ring kama alivyo sema Chauro wataka kuonekana kidole kinang'aa?

my dearest lito sisters ndoa hainaga kujaribu kuwen siriaz na kuweni na misimamo hakunaga suprise ndoani lol............nashukuru sana Mungu kipindi wengine tunaolewa hiyo pete ya uchumba unaveshwa siku barua ya posa ikisomwa tena unaitwa na kuualizwa kweli hii barua aliyeiandika unamjua? unakubali je uko tayari akupose ukawe mkewe unakubali basi wazazi wanamwamabia ache alama kwamba amekuposa ndipo anakuvesha pete ya uchumba na ikishafikia hapo mnaish just some few months ndoa inapita. sasa haya ya siku hizi yamekaa kiface book zaid.

dada mkubwa mj1 usisahngae pengine wengine wanaveshewa hata mitandaoni tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaa Mbu umesahau msemo wa kuolewa ni bahati!................ukiwa na uthubutu wewe ni mwema ukipitiliza umri utatafutiwa mabaya kwanini hupati soulmate ukiwa na uthubutu wa kwenda jamii nayo haikuachi kwa maneno yote yasiyostahiki!!

Ngoja kwanza nikanywe Rubisi Mbu kanipatia jambo lakutafakari leo.

......hahahaha.....mwanajamiiOne na chauro mmeniacha hoi....ati? Akiwa surprised na engagement ring anasahau viwango na vigezo vyote! ....na vidole juu!? hahaha....

Nakuja kuendeleza mdahalo, nimebanwa huku leo,.....madagaa ya kigoma yamechelewa....BTW, mmekisikia kibao cha KIGOMA ALL STARS? ....acha tu....
 
jamani sitaki kuamini kama watu watatania hata katika hili eti Mwanajamii one.Hivi kweli ndoa inasuprise? eti unafanyiwa engagement kwa suprise? huu ni uongo kabisa na wala kweli haimo mioyoni mwa watu hawa wawili. ndio maana yanawatokeaga puan unaveshwa hata mara sita.

jamani kweli mabinti sikilizen ushauri hapa jamvini, bf asikwambie kuwa anakusuprise kwa engagement jamani hebu tathmini kwanza are you real serious? je uko devoted kwake? je mapungufu yake ni changamoto kwako ama ni kiroba cha lawama na manyanyaso umejibebea? au je wewe wavaa hiyo ring kama alivyo sema Chauro wataka kuonekana kidole kinang'aa?

my dearest lito sisters ndoa hainaga kujaribu kuwen siriaz na kuweni na misimamo hakunaga suprise ndoani lol............nashukuru sana Mungu kipindi wengine tunaolewa hiyo pete ya uchumba unaveshwa siku barua ya posa ikisomwa tena unaitwa na kuualizwa kweli hii barua aliyeiandika unamjua? unakubali je uko tayari akupose ukawe mkewe unakubali basi wazazi wanamwamabia ache alama kwamba amekuposa ndipo anakuvesha pete ya uchumba na ikishafikia hapo mnaish just some few months ndoa inapita. sasa haya ya siku hizi yamekaa kiface book zaid.

dada mkubwa mj1 usisahngae pengine wengine wanaveshewa hata mitandaoni tu.

Da Mkubw anakwambia natamani watarajiwa hawa wadogo zetu waje wausome ushauri wako. KWeli kabisa sie tunawaangalia tu aisee, mwingine akiona mwenzie ana 'engagement ring' kidoleni naye anaangalia nani yupo nae anakimbilia kuanza ....Babi si unanipenda, lini utanivalisha pete? Mawazo yake yote yako kwa Fulani atankoma , na mie nimevalishwa ....haangalii maana halisi. Na ndio maana tunawaona watu kibao wanavalishwa na waume za watu kisha anajipa moyo....mie damu changa ntampagawisha hadi akiache kile kizee chake.

Duniani kuna mambo!
 
......hahahaha.....mwanajamiiOne na chauro mmeniacha hoi....ati? Akiwa surprised na engagement ring anasahau viwango na vigezo vyote! ....na vidole juu!? hahaha....

Nakuja kuendeleza mdahalo, nimebanwa huku leo,.....madagaa ya kigoma yamechelewa....BTW, mmekisikia kibao cha KIGOMA ALL STARS? ....acha tu....

Mbu we acha tu, sie tuliozeeka tunajionea mengi aisee. Ile ring ni magic kwa wengi aisee. Tena basi kuna mwingine haveshwi engagement but akitamkiwa tu kuwa nataka kukuoa.................anaanza kuota gauni la harusi.

Kuna rafiki yangu mmoja ye alitongozwa, akaengagiwa na kuanza vikao vya arusi na mtu ambaye by that time alikuwa ulaya but walikuwa wanafahamiana kabla ya hapo kama marafiki. Bimt akakubali ndoa, baada ya miezi sita akamwambia mwenzie nipe talaka mimi na wewe hatuendani!!

Laiti mngemuona alivyokuwa anaweweseka na gauni la harusi!
 
sometimes kujiaminisha kuna kuja after years ya kuishi pamoja
siku ya harusi huwa ni 50/50....
ka doubt kanakuwepo

hivi boss wafikiri ni kwanini hiyo doubt inakuwepo? jamani hapa tusimsingizie shetani kabisa tatizo ni letu wenyewe wanandoa.

hivi kama ulitamani hiyo ndoa ili na wewe uvae pete za dhahabu kidoleni na ndoa ipite baharini wafikir hutokuwa na wsiwasi?hivi kama ulipenda niolewee mfano na boss ili niingie kwenye jumba kubwa la kifahari, nendeshe toyota progress wafikir ntaacha kuwa na wasiwasi? hvi kama nilitaka niolewe kwasababu shost wangu cacico kaolewa na ndoa yake ikafana sana so nataka nijibu mapigo nitaaacha kuwa na wasiwasi? hivi kama naolewa kisa ndugu zangu, marafiki,majirani wamezidi kunisema na umri umekwenda ntaacha kuwa na hofu? hivi kama naolewa kisa mama ni mchangaji mzuri wa kwenye harusi za wengine na mimi nimekuwa mtu maarufu kwa kwenda kwenye minuso ya watu so leo nataka na mimi niwaite waje kwangu nitaacha kuwa na hofu? hivi kama naolewa sina malengo yeyote ya ndoa wala upendo, uvuumilivu, uwajibikaji, nia njema na wito wa kindoa sina nitaacha kuwa na wasiwasi?

yani asikufiche mtu kaka mkubwa ishu ni unaolewa kwasababu gani ndicho kinachomata, ndoa mbona hata jogoo anazo nyingi tu au fahali anazo nyingi sana?

yawapasa mabinti kukaa chini na kuplan kwa kumaanisha na kufikiri kwa umakini ausifumbie macho makosa ya mwenzi wako yapime kabla ya kuingia angalia kama waweza kuyavumilia na kama hutamchukia bali utayachukulia kama changamoto kwako. mbona maisha ya ndoa ni mazuri sana jamani kama tu utu wa ndani utaiona ndoa kama ibada kwako?
 
Last edited by a moderator:
sometimes kujiaminisha kuna kuja after years ya kuishi pamoja
siku ya harusi huwa ni 50/50....
ka doubt kanakuwepo

Lol kuna dada yangu alinisimulia kuwa ile siku ya arusi, pale kanisani alipoulizwa kama anakubali kuolewa na Mr yule, alipatwa na kigugumizi kiasi cha kujikuta anamforce Padri kuuliza zaidi ya mara moja. Akanambia si kwamba alifanya kusudi amrushe roho mumewela bali alikuwa anajiuliza kama anafanya uamuzi sahihi au la! Na akakiri kuwa lilimjia wazo la kujiangusha ili ajizimishishe kwani alijua anafanya makosa................ ingawa bado wako wote lakini cha moto anakiona!
 
Swali gumu kwakel kuna dada nilimpropose kama miezi 5 imepita mwanzon alileta kausumbufu kakike nataka sitaki nikawa nishachoka bembeleza mwanaume ghafla nilijiuliza huyu msichana anastahili kuwa my wife 1day nikapata jibu hapana kutoka moyoni.nilianza kupunguza kumtafuta matokeo yake yeye ndo ananitafuta nimempa ukwel kwa alivyonisumbua ilifika wakat nikawa nishapoteza kujiamin kumpenda.mtoto wawatu ananiita muhuni nacheza na hisia za wanawake ila ndo ivyo siwez tena kumpa moyo.wakati namtokea aliweka radhau,jeuri na ufahari wa kabila lake mbele na kuhuliza maswal ya kipumbav utazan anataka kuniajir UN. Mimefikiria umuhim wake kwangu nimeona hakuna
MCHAGA HUYO ,UNAKABATI YA PICHA ,UNA NG'OMBE WA MAZIWA ,UNAKABATI LA BARIDI UNA CRDB MASTE KADI by default ukala kona
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ninaamini huyu niliyenaye ni mungu amenip na nilimuomba yeye na hawezi nipa mbaya na hili limejidhihirisha katika miaka tuliyoishi naye ,na hata moyo wangu uko tayari popote na huyukwenye shida na raha kabisaaa lolote linalotokea huwa sijiulizi kwanini,hali yamaisha imebadilika tunakabili bila kulaumiana ni macache ila moyo nishuhuda pekee wa mapenzi ya dhati na mtu huyu ni sahihi kwako,usikilize moyo wako,hasa wakati wa shida utajua tuuu.
 
Ubarikiwe sana . Ila ni lini hasa uliamua kuomba MUNGU akuonyeshe kama yeye ndiye yeye na ni ishara gani alikupatia?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Zanta huo ni sumu alokuwa anaimwaga mkaka kwa mdada ambaye ameshamwambia mie bwana sikupendi hahah yaani ingekuwa ni mie ndo ananijibu hivyo mbona ningejikuta nacheka tu kwa hacra!!
khe khe khe sasa huoni kama atakua amekusaidia yaani we huna haja ya kupenda lol.. kuna watu wana maneno khaa
 
khe khe khe sasa huoni kama atakua amekusaidia yaani we huna haja ya kupenda lol.. kuna watu wana maneno khaa

Hahahah Zanta huoni hapo ndipo utajikuta unaenda kinyume na anachokiulizia Mbu hapa? Maamuzi yako yatakuwa kwa kuwa yeye anakupenda na anajua humfeel kiviiiile unaamua tu muwe pamoja?? Uthubutu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Alikuwa anamendewa sana na limjamaa lenye fedha zake. Alivolipiga chini mbele yangu na kunitambulisha kwake kuwa mi ni fiancee wake (japo haikuwa kweli) nilipata mhemko. Haikupita muda sana nikapropose marriage unajua nlijibiwaje?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom