KUTEUA WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE WENYE ELIMU NDOGO

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Hakika Nchi hii Kiboko.Nimeshtushwa sana kuona Muhimili -Bunge chombo kinachotegemewa kutunga Sheria Na kuisimamia Serikali baadhi ya Kamati zake zinaongozwa Na Wenyeviti ambao elimu zao zinatia shaka.Tunaamini suala la kuongoza kamati za bunge ni nyeti kwani kamati hizo ndio zinaisimamia Serikali kupitia hizo kamati.Na hizo kamati hukutana Na watendaji ambao kimsingi wapo serikali Kwa elimu zao.Kuna Kamati ya Mashirika ya Umma ,Kamati hii inasimamia mashirika yote ya Umma nilitarajia hata Mwenyekiti wake angalau akimaliza Kidato cha NNE,lakini hakumaliza aliishia kidato cha Pili Katika Shule ya Sekondari Mazwi Mjini Sumbawanga Na alifukuzwa.Spika wa Bunge ,Kasi ya Rais Magufuli no pamoja Na elimu ya watendaji ndio maana Serikali ya Awamu ya tano imejaa Dr.,Profesa.n.k. Tafadhali usiteue Wenyeviti Kwa kujuana zingatia Sifa zao ujuzi elimu.
 
Back
Top Bottom