Kutengua barua ya uchumba

Kutengua barua ya uchumba

Huwa hawapatagi amani kabisa. Nina mfano hai, jamaa aliacha mwanamke aliyeishi nae na kumzalisha. Akaenda akaoa tena kwa ndoa. Baada ya miezi kadhaa akaanza kurudi kwa baby mama wake . Alichokitarajia kwenye ndoa mpya hakukipata. Akamkumbuka zilipendwa wake. Huyu mleta mada mwache aende akaoe upya, atakuja na mrejesho wa kuteseka ndoani. Machozi ya mwanamke hayajawahi kumuacha mwanaume salama.
Na akirudi ni wa kukimbiza
 
Katika maisha yoyote yanayofanana na ndoa au ndoa zenyewe kuna kipindi cha mpito ambacho kuna kutokupendana kama awali ila hii sio sababu ya kuachana badala yake ni kuzungumza pamoja ili mkoleze penzi kwa pamoja... Usijaribu kufuata genye zako ukampoteza mke wa ujana wako... Hakuna kipya huko uendako kwani nyama ya ng'ombe ni ile ile tofauti ni matunzo yake kabla......
 
Ukimwacha utakuwa umemharibia maisha maisha mtoto wa watu, pengine bila wewe kumzalisha angeweza kupata Mume akawa na maisha mazuri na si majuto. Huwezi jua amekataa wanaume wangapi katika maisha yake ili kulinda Penzi lako, amekubali kutunza kiumbe chako tumboni hadi kajifungua huenda angejua mapema kama utakuja kumwacha mbeleni kwa sababu za kijinga angeweza kuitoa hiyo mimba ili kulinda heshima yake, lakini alizaa kwakuwa aliamini utamuoa.

Manung'uniko ya huyo mwanamke na mtoto hakika yatazaa laana na hutachomoka kwenye hiyo laana. Kaa ufikirie vizuri, pengine inaweza kuwa wewe ndio chanzo cha yeye kufanya hisia zako zipotee.
 
Hapa nd nachokaga na wanawake, mnapenda kuolewa lakini hamjiongezi hata chembe. Unakuta huyo mtu umemtolea barua kama mdau hapo juu na umezaa naye lakini hana support na wewe hata ukimpigia simu usiku kwamba unaumwa haonyeshi kujari wala hana muda. Kuna siku moja niliwai kumpima wangu kwa kumwambia nahitaji elfu 50 urgently alinikwepa kwepa zen huyo nd unataka uingie naye mkataba kulala uchi maisha.

Kuna mabinti wazuri sema wengi wenu vuvuzela sana na hampendi wazazi wa upande wa kiume hasa mkigundua au kuona familia hiyo ni fukara au inamaisha standard. Mimi namsupport mdau hapo mtu anahitaji ndoa kama hataki vile kisa ushazaa naye.
Mpaka uliamua mwenyewe kwenda mumtolea barua na posa. Hujalazimishwa na mtu.
Inamaana ulikuwa upo tayari kuisha nae. Mwanbie basi mapema kwamba humuhitaji akajua kabisa.
Inategemea pia mnaishi vip na mzazi mwenzio.
 
Hapa nd nachokaga na wanawake, mnapenda kuolewa lakini hamjiongezi hata chembe. Unakuta huyo mtu umemtolea barua kama mdau hapo juu na umezaa naye lakini hana support na wewe hata ukimpigia simu usiku kwamba unaumwa haonyeshi kujari wala hana muda. Kuna siku moja niliwai kumpima wangu kwa kumwambia nahitaji elfu 50 urgently alinikwepa kwepa zen huyo nd unataka uingie naye mkataba kulala uchi maisha.

Kuna mabinti wazuri sema wengi wenu vuvuzela sana na hampendi wazazi wa upande wa kiume hasa mkigundua au kuona familia hiyo ni fukara au inamaisha standard. Mimi namsupport mdau hapo mtu anahitaji ndoa kama hataki vile kisa ushazaa naye.
Mpaka uliamua mwenyewe kwenda mumtolea barua na posa. Hujalazimishwa na mtu.
Inamaana ulikuwa upo tayari kuisha nae. Mwanbie basi mapema kwamba humuhitaji akajua kabisa.
Inategemea pia mnaishi vip na mzazi mwenzio.
 
Hiyo miaka yote mitatu pia hisia ulikua hauna laana yake haitakuacha hii kwa kumpotezea mda dada wa watu

Hivi kama mtu humpendi si umwambie kuliko kucheza na hisia za mwenzio unamfunua funua tu halaf unajifanya eti nilikua sina hisia nae
 
Demu ye anasemaje baada ya kumwambia nia yako...au haujaongea nae unataka tu kumwacha kwa kushtukia?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Na
Miaka mitatu umemgegeda sasa umepata KE mwingine huna hisia naye tena! Hujatia neon lolote kuhusu mwanao na sidhani hata unajali kuhusu huyo mtoto. Tia akili kichwani uoe huyo binti. Tafuta hisia zitakuja tu acha utoto!

Wewe kwenye akili yako kuna mtu mwingine ambaye kwa sasa unamlinganisha na huyo wako. Hapo nyuma hukuona hilo. Upendo si hisia, ingawa hisia zinaweza kuwepo kwenye upendo. Lakini ukweli upendo ni uamuzi wa ndani yako juu ya mwenzako. Wengine wanasema mpende kwa imani si hisia. Hisia hubadilika sana. Inawezekana ukapata mwingine ambaye unafikiri unahisia za upendo naye zitakwisha. Hakuna mtu aliyeumbwa na Mungu hana kipawa (karama) fulani. Mwangalie huyo mwenzako kwa upya utaona alichopewa na Mungu ni nini.
Pia inawezekana wewe unamburuza katika maamuzi ya maisha kiasi sasa amekuzoea kutotoa mawazo yake, kwenye mambo mnayotaka kujadiliana.
Ahadi ni nadhiri ambayo umefunga kwa kinywa chako bila kujua mbele ya Mungu. Kuifungua nadhiri (hata kama mlifanya ninyi wawili; jua Mungu aliyasikia), sio kitu rahisi ingawa wengi wanapuuza.
Wengi wameachana na wenzao wa kwanza lakini ukiangalia maisha yao ni majuto.
Tulia fanya mambo ambayo ulikuwa unafanya ulipokuwa na hisia naye.
 
Habari wapendwa,

Hivi inawezekekana kuvunja uchumba kwa mchumba ambaye umemtolea barua ya uchumba? Kama jibu ni ndio, upi ni utaratibu wa kufuata?

Nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa miaka mitatu na tumefanikiwa kupata mtoto mmoja.

Miaka miwili iliyopita nilimtolea barua ya uchumba na ikajibiwa ila kwa kweli kwa sasa nimekosa kabisa hisia naye na naona ni bora kila mtu achukue ustaarabu wake kuliko kuendelea kupotezeana muda.

Naombeni ushauri nini nifanye kwa maslahi ya pande zote?

Sent using Jamii Forums mobile app
We only have ONE life to live..only ONE!! Watu wamezoea kuwa na watu kwasababu ya mazoea au watoto.. It might be complicated lkn sidhani kama ni sahihi.

Do what makes you happy .. You're responsible for your own happiness! Though you wasted someone's time anaweza kurecover from that kwa umri wake rather than have a lifetime full of unhappiness and misery!

Good luck

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamchezea mtoto wa watu mpaka umechoka siyo?


Huyo tiyari mkeo, unataka akaishi na nani tena
 
Ujue maumivu ya mtu kukuacha bila sababu za msingi yanauma bila kujali ni mda gani mmekuwa wapenzi! Hata kama mmetongozana mkawa wapenzi miezi 2 mwenzako akikugeuka inauma. ⚜️

Kwanza kwakuwa unataka kumuacha muache bila kuchelewa maana ukimficha utakuja kumtesa sana baadae. Mweleze ukweli ataumia ila atazoea na baadae atashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hayo ni mapito tu ila mpe Mungu nafasi, shetani kazi yake ni kutia aibu then baada ya hapo hasaidii chochote. Nami huwa inanitokea hiyo hali ila ninampa Mungu nafasi kubwa sana mwisho wa siku mambo yanakuwa okay, tena hiyo hali ikinitokeaga huwa natamani kama nimkamate mke wangu na fumanizi ili nipate sababu. Popote na chochote kilicho na mafanikio huwa kunatokea vikwazo sana kiasi kwamba usipoweza kusimama imara unajikuta unafanya maamuzi ya hovyo kabisa.

kuna msemo mmoja unasema '' shetani ni fundi wa kutengeneza masufuria tena mazuri ya kila aina, ya dhahabu, shaba n.k, lakini pamoja na ufundi wake hana uwezo wa kutengeneza mfuniko wa sufuria ya aina yoyote ile'' maana yake ni kwamba ni fundi la kutengeneza kila jambo baya/dhambi lakini hana uwezo wa kuficha jambo baya alilotengeneza''.
 
When i ws young nilizani U jst fall in love then mnaoana then mnaishi happily ever after,kumbe marriage haiko ivo ts a wise & smart decision one has to make,usiangalie sijui moyo haumpendi sijui nini,dho upendo matters u got feel sombody bt

Ebuangalia huyo mwanamke anaweza akakupatia familia bora? That's what truly matters when t comes to the marriage decisions
Je ukimuoa mama mwanamke mwingine atampa mwanao malezi bora ambayo ww unayataka?cos mara nying watoto hushinda na mama mda mwing
Je mwanao akienda kush na mama yake yule baba yake wa kambo atampa malezi anayo staili?
Do not risk ur child future cos of ur mistake,ulifanya makosa mwenyewe had unazaa nae kubali kubeba mzigo

Tafakar ,then make the right decision
 
I see kijana nimekuelewa, wanawake tunatengenezwa jaribu kuongea nae mapungufu yake, mfundidhe jini ya kukupenda vile unavyotaka. Naomba nikae kwenye kitu cha huyu jamaa nilonge. Wanawake wengi wanabweteka, kila kitu mwanaume afanye bila kujali kwamba he also need a help. Jamani inachosha.

Nina mengi ya kukushauri, kuandika ni shida.
 
Unakuta huyu mwanamke anaachwa halafu jamaa anaoa mwingine na mwisho wa siku huyo dada akiolewa na mwanaume mwingine anaenda kudanganywa kua naomba tukumbushie,na huyo dada anakubali.

Inasikitisha sana,lakini ndiyo dada zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimuacha huyo hutaoa tenaaa...na ukioa hautadumu nao mda c mrefu mtavunja ndoa.. So life lako litakuw la kutanga tanga tu

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom