mangi waukweli
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 246
- 27
acha kufoji nyaraka wewe...
vya huku mtaani vinakua ni org kama vya necta kinachokua feki ni index tu lkn matirio ni yaleyale
ila wanatoaga barua ya utambulisho kuwa vyeti vyako vimepotea....
ila kuna serila number kaka,,,jambo ambalo nadhan ni gumu,,,sidhan kama unaikumbuka serial number ya chet chako kwa sasa,nayo ipo kwenye system yao
Wana bodi kwakua necta hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo itahesabika kwamba ni cha kufoji? Na je hivi uku mtaani ni kweli kuna watu wanatengeneza kama kilivyo cha wanachotoa necta tusaidieni tuliopoteza maana necta wanatusumbua wanataka uwe unatembea na barua kuna sehemu zingine uwezi pata ajira kirahisi mpaka uonyeshe cheti
huu utaratibu isifikiri watu wote wanauelewa chamsingi apo kama kuna watu wanaweza kutengeneza materia yale yale na unajua ni halala ata wakiangalia serial number tatizo liko wapi?ukipoteza noti yako ya shiling elfu kumi, ukaamua kwenda kutafuta noti feki, je unaweza kutetea kumiliki hiyo noti feki kwa kigezo kuwa ulisha ibiwa noti yako orijino?.
kile cheti hakikuwa chako kilikuwa cha necta kikatolewa kwako, kama umepoteza na wamekupa document inayoonyesha ulipoteza basi tumia document hiyo hiyo, wewe ku-print feki ni kosa na unaweza kufungwa, ni hatari hiyo. kumbuka siyo kuwa hawakupi kingine kwakuwa hawawezi kuprinti kingine, huu ndo utaratibu wao.
tofauti ya cheti na noti NOTI ni public use lakini cheti kina personal use na detail zilizo kwenye cheti ni personal si notiukipoteza noti yako ya shiling elfu kumi, ukaamua kwenda kutafuta noti feki, je unaweza kutetea kumiliki hiyo noti feki kwa kigezo kuwa ulisha ibiwa noti yako orijino?.
kile cheti hakikuwa chako kilikuwa cha necta kikatolewa kwako, kama umepoteza na wamekupa document inayoonyesha ulipoteza basi tumia document hiyo hiyo, wewe ku-print feki ni kosa na unaweza kufungwa, ni hatari hiyo. kumbuka siyo kuwa hawakupi kingine kwakuwa hawawezi kuprinti kingine, huu ndo utaratibu wao.
tofauti ya cheti na noti NOTI ni public use lakini cheti kina personal use na detail zilizo kwenye cheti ni personal si noti
huu utaratibu isifikiri watu wote wanauelewa chamsingi apo kama kuna watu wanaweza kutengeneza materia yale yale na unajua ni halala ata wakiangalia serial number tatizo liko wapi?
kwani serial na index ni vitu viwili towauti au ni kile kile
Na kama nili scan naweza kuprint na kutumia hiyo coloured copy?????
Na kama nili scan naweza kuprint na kutumia hiyo coloured copy?????