miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
wanalia wewe sema wewe ndo huliiMwanaume halii bwana
wanalia wewe sema wewe ndo huliiMwanaume halii bwana
Shashaa, Thio mada ingine kweli ii??-thama'ani lakini.Ningerudi darasani kusomea lugha ya Kiswahili fasaha maana kama kuandika kwenyewe ndio hivi, habari gani kukiongea? Si ajabu mchumba aghairi na kuamua kwenda kwa mwingine!
Shashaa, Thio mada ingine kweli ii??-thama'ani lakini.
Nina hakika hata wewe Sjumaa26 ulieshauri mwenzako ajifunze kiswahili, Unahitaji darasa.Uwe unafuatilia uzi vizuri kabla ya ku-comment, usiwe mkurupukaji!
Hata mimi nilitarajia useme hivyo maana kiukweli akili yako ni ndogo sana ndio maana hata haukuweza kuelewa kwa nini niliandika vile na nilikuwa na maana gani?! Hivyo kuendelea ku-argue na wewe is completely a total wastage of time! Waache vipofu waongoze vipofu wenzao! Tangu lini akili ndogo ikawa na uwezo wa kuelewa mambo makubwa?Nina hakika hata wewe Sjumaa26 ulieshauri mwenzako ajifunze kiswahili, Unahitaji darasa.
Unajua kweli maana ya neno 'Kukurupuka'? kama unavyodai nimefanya.
Hoja yangu ni kuwa mada yako ya mtu kujifunza Kiswahili ipo nje ya maudhui ya Uzi husika kama ulivyoanzishwa na dililia
na ndio maana nikasema na naendelea kusema kuwa haikuwa mahala pake.