Nilikuwa na mpenz tuliyependana sana lakini cku moja alipata safari......na alipoludi toka safari akanambia amepata mchumba na anataka kuolewa......je ingekuwa ww ungefanyaje

pole ndg, likuepukalo lina heri. hizo ni changamoto za maisha, hope zitakujenga.
Nilikuwa na mpenz tuliyependana sana lakini cku moja alipata safari......na alipoludi toka safari akanambia amepata mchumba na anataka kuolewa......je ingekuwa ww ungefanyaje
Mwanaume halii bwananingelia tu alafu natafuta mwngine