Kutendwa ni elimu katika mapenzi usiogope japo inauma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutendwa ni elimu katika mapenzi usiogope japo inauma.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MBWAMBOs, Nov 26, 2011.

 1. M

  MBWAMBOs Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Moyo huuma sana pale unapotendwa lakini utajifunza kitu kuhusu tabia za watu mbalimbali na matendo yao katika mapenzi hivyo huweka fikira fulani ya kuyatibu na kujazoea mapenzi,usikate tamaa unapotendwa kwani ndio ukubwa na ni elimu tosha katika mapenzi. NOTE: "One yes *Twice not"
   
Loading...