Kutendwa kunanitesa

Kupoa nilishapoa tayari ila nachohitaji ni zaidi ya kupoa sasa
 
Ukikaa tu hivyio mwenyewe utaendelea kuteseka, tafta hata wa mda tu huku unatafta atakae kufaaa
 
Ukikaa tu hivyio mwenyewe utaendelea kuteseka, tafta hata wa mda tu huku unatafta atakae kufaaa
Wa muda ndo simuhitaji kabisa bora nikae hivi hivi tutasuana vichwa tu
 
Muda ni tiba, Mungu ametupa kusahau yatapita kaka, kwa sasa komaa na ibada, soma vitabu na jichanganye na watu km kwenye mazoezi itakusaidia POLE SANA
 
Duuh miaka 6? inaonyesha uliingia mazima,wanawake sio viumbe wa kawaida hao wana ushirika na shetani.
ukiishi na mwanamke tambua upo jirani na jini,dawa yao unagegeda unakula kona
Yani kaka usiseme wanawake tu Bali inategemea na kichwa cha mtu mimi nilikuwa na boy wangu nilimpenda kichiz na kumshirikisha kila kitu mwisho Wa siku ni kitu kibaya kafanya hapo ni roho ya MTU tu ucseme ni wanawake wapo hivo
 
Wewe unataka ushauri wa kutendwa harafu hutaki kushauriwa unataka ukae hivyohivyo sasa mbona umereta hii isues mezan bac ucngereta kabisa maana majbu ulikuwa nayo kumbe mbona unazngua ww
 
unajua nini dada elizabeth wanaume wa hivyo wapo sana ila wanawake wengi wamezidi mno,na wengi wao wameharibu sana future za wanaume
 
Mmmh bac ukweli utabaki tu kuwa ni moyo Wa MTU na roho yake mbona mm ameniaribia vingi na amenifanya nisipende hyo ni moyo Wa MTU tu
 
Pole sana. Jipe moyo... Utayashinda
 
Reactions: BAK
mmh pole! ila si kweli kuwa wanawake wote sawa! hata siye tunateswa na baadhi ya wanaume tena sana tu! ila pole...njooo nkupoze kiaina wakati unasubiri wa kuanzisha nae tena kwa miaka mingine sita!...
umenifny nimechk ndn ya public transport watu wamenicheck kinoma wanahic nimechizika
 
Wewe unataka ushauri wa kutendwa harafu hutaki kushauriwa unataka ukae hivyohivyo sasa mbona umereta hii isues mezan bac ucngereta kabisa maana majbu ulikuwa nayo kumbe mbona unazngua ww
We jamaa nadhan tunaweza kuwa tunafanana kiasi. Mtu majibu unayo, halaf unaanza kusumbua watu, wanakushauri unaanza kuwapinga tena.

Au pengine huo u mr right ndo uliomshinda bibie akaona bora ajikwendee mapema
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…