Na nyie sub tutawawekeaWe ulichokosea nikuwana mwanamke mmoja, yani hata sub hukuweka.
Eeeenh!! Naona umejileta Wanawake dizaini hii ndoasio wataka mtoa mada.Na nyie sub tutawawekea
Na atatendwa sana tu,player akiwa majeruhi inakuaje sasa,sub inahusu ..ha ha ha jokingEeeenh!! Naona umejileta Wanawake dizaini hii ndoasio wataka mtoa mada.
Sawa ila mimi sitaki kupoozwa nishapoa kitambo sanammh pole! ila si kweli kuwa wanawake wote sawa! hata siye tunateswa na baadhi ya wanaume tena sana tu! ila pole...njooo nkupoze kiaina wakati unasubiri wa kuanzisha nae tena kwa miaka mingine sita!...
Yaani wewe unamawazo kama mimi dahDuuh miaka 6? inaonyesha uliingia mazima,wanawake sio viumbe wa kawaida hao wana ushirika na shetani.
ukiishi na mwanamke tambua upo jirani na jini,dawa yao unagegeda unakula kona
Miss Natafuta, unatafuta mass sympathy hakuna kingine.kumbe tupo wengi .mimi nimekuwa sugu kabisa
hakuna anaeweza kunifariji ! wala siitaji hyo faraja labda mtoto tu sio mwanaume yoyoteMiss Natafuta, unatafuta mass sympathy hakuna kingine.