Kutemea mate wakati wa tendo

Kutemea mate wakati wa tendo

Hahaha Lissu tukimuonesha huu uzi anagairi asee. Kipindi ye anawaza Katiba kumbe kuna wenzake wanawaza kuitemea mate.
Mkuu wewe hapo kujifanya mwanaharakati wakati hata mitandaoni nimefwatilia nyuzi zako hakuna cha maana pumbavu kabisa
 
Yaani mbolea ukimaanisha haja kubwa..
Sasa mkuu kumbe hayo mate wanatemea nyuma...
Aseeeee mbona ni uchafu wazi wazi huuu hv mnaishije na watu wa namna hii
Shem na wewe!!!

Nimekwambia shimo la mbolea, sio haja kubwaa!!

Unahitaji VETA.
 
Mnauhakika Wazungu waliwanyang'anya wazawa mashamba yenye rutuba wakalima wao kwa nguvu? Mbona hayo mashamba yenye rutuba yapo na wazungu hawapo na hayalimwi.

Mtu kama mleta mada anamchango mdogo sana kwenye taifa , utazame wewe video za Batazar afu uje kutufokea sisi .

Location. Modeko Morogoro
 
20241116_094011.jpg
Mjomba hiyo ni lubricant kama lubrication nyingine.Hivyo ni Vitu wet wet mama!!!
 
Mnauhakika Wazungu waliwanyang'anya wazawa mashamba yenye rutuba wakalima wao kwa nguvu? Mbona hayo mashamba yenye rutuba yapo na wazungu hawapo na hayalimwi.

Mtu kama mleta mada anamchango mdogo sana kwenye taifa , utazame wewe video za Batazar afu uje kutufokea sisi .

Location. Modeko Morogoro
Lima wewe huyaoni
 
Back
Top Bottom