Kutemea mate wakati wa tendo

Kutemea mate wakati wa tendo

Leonce jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2023
Posts
2,418
Reaction score
3,612
Habari.

Jamani hiki ni kitendo mimi sikipendi na sifanyi hivyo kumtemea mate mwanamke wakati wa tendo. Binti usikubali kutemewa mate sehemu za siri ni uchafu na zalau, mate ni mazuri kwa romance lakini ya kitumiwa vibaya ni uchafu.
Mimi naomba Mungu nisipate mwanamke ambaye alikuwa anatumiwa na mate kama kilainishi aisee

Mimi sitemei mate binti/mwanamke wewe je??
 
Habari.

Jamani hiki ni kitendo mimi sikipendi na sifanyi hivyo kumtemea mate mwanamke wakati wa tendo. Binti usikubali kutemewa mate sehemu za siri ni uchafu na zalau, mate ni mazuri kwa romance lakini ya kitumiwa vibaya ni uchafu.

Mimi sitemei mate binti/mwanamke wewe je??
Mate yanatumiwa na malaya na ni haki yao kutumia mate kwa sababu wanakuwa wamenunua.
Mtu anaponunua bidhaa hatakiwi kusimamiwa nyuma ya kisogo chake kufundishwa matumizi.
 
Utakuwa umetemewa sana mate mpaka umekuja lalamika huku. Watu wakishataka kukupiga pipe na wanaona umekauka wanakupaka tu saliva wakuchape nao. Ama sivyo tembea na kikopo cha vaselline jamaa wakitaka kupaka mate waambie una mafuta.
 
Vilainishi vipo, ila ni wasichana Wachache sana wanaweka kwa pochi zaoo hahaaaaaa
Condom muhimuu
Hana haja ya kubeba kirainishi k ikiandaliwa vizuri hata kama mnatumia kondom haikauki labda ukute kuna shida nyingine.
 
Hawa wanawake wa sasa ambao anakuja kwako ila lengo lake ni hela utayompa baada ya tendo unadhani bila mate kuna kitu kitaingia?
Sijui mimi mkuu but ni disgusting 😢
 
Mate yanatumiwa na malaya na ni haki yao kutumia mate kwa sababu wanakuwa wamenunua.
Mtu anaponunua bidhaa hatakiwi kusimamiwa nyuma ya kisogo chake kufundishwa matumizi.
Ni hatari mbona lkn sio vyema na sio utu
 
Back
Top Bottom