munyambo p
Senior Member
- Aug 18, 2017
- 173
- 167
- Thread starter
-
- #101
Sasa kama 100000=40000 kwa hioImeanza lini mkuu??
Nilikuwa huko two weeks ago ukichenchi 100,000 ya Tanzania unapata Franks 40,000 hadi 43,000.
Hiyo laki nne kama ni Uganda Sawa not RWANDA
Ni kweli mkuuNasikia huko kuna watoto wazuri ni kweli Munyambo?
Aisee hawa mabinti wa kinyarwanda watakuja niua siku moja kwa raha…
Ni kweli kabisa, sisi sote ni ndugu. Tutatembelea huko siku mojaHabari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda.
Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
Wala usihangaike nao!Washamba flani na %99.9 ya mwanamke wa Rwanda hajui kumkataa mwanaume!Aisee hawa mabinti wa kinyarwanda watakuja niua siku moja kwa raha…
WakaribieHabari zenu jamani huku kwetu hatujambo tunaendelea kufurahi na kumushukuru Mungu kwa kuturinda.
Jamani mtu ambae anataka kutembelea kwetu huku Kigali Ni karibu kabisa maana sisi sote Ni ndugu
Jamaa kwa kujisafisha nje wapo vizuri!Lkn ni nchi ambayo kuishi ni ngumu sana kwa kila kitu!Hata wao Tz ikiamua ikaze kabisa wataathilika pakubwa!Tatizo jingine walilonalo-ni wavivu na wajivuni!Hujiona wao ni zaidi ya kumbe bure kabisa!Nilikuja nikaishia kayonza mko vizuri nitakuja ndugu
Aiseeeh nakubaliana na wewe 90% , nimeishi na kukulia mikoa ya kanda ya ziwa karibu nao. Na kuna ndugu zangu wameoa huko ni balaa full kutom***ewa...Wala usihangaike nao!Washamba flani na %99.9 ya mwanamke wa Rwanda hajui kumkataa mwanaume!
Ovyo sana!Naifahamu Rwanda na wanyaRwanda kuliko!Miaka 17 nimeishi Rwanda maeneo tofauti.Aiseeeh nakubaliana na wewe 90% , nimeishi na kukulia mikoa ya kanda ya ziwa karibu nao. Na kuna ndugu zangu wameoa huko ni balaa full kutom***ewa...
Pia ni malimbukeni full ushamba, kuna mmoja alimtongoza shemeji yake
Acha unafki na roho mbaya, hao wanyarwanda unaosema wanamaisha duni hakuna hata mmoja anayelala nyumba ya nyasi nchi nzima, ukiona nyasi ujue ni nyumba za kimila, wanyarwanda wanakunywa maziwa, watoto wanalaptop shuleni huwezi kufananisha na Tanzania yetu!Sema Rwanda ni nchi ya dhiki sana!Wananchi hasa huko vijijini wanaishi maisha ya uduni uliopindukia!
Wazee kwa vijana huhangaika vya kutosha ili tu angalau wapate mlo mmoja kwa siku!
Huwajui wanyarwanda!Ovyo sana!Naifahamu Rwanda na wanyaRwanda kuliko!Miaka 17 nimeishi Rwanda maeneo tofauti.
Babu Seya na Tundu Lissu ni mambo gani ya kisiasa? kubaka watoto na kwenyewe ni mambo ya kisiasa au unasema usichokijua?Kwa jumla nchi ya Rwanda ina usalama wa kutosha hayo mengine ni mambo ya siasa hata kwenu yapo mfano babu seya ,tundu lissu na wengine