Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
anahasiraHa ha ha, karibu tena, siku ukija tena uandike kwa kutulia.
anahasira
Inaelekea umeshamjua mchepuko wa mumeoWewe mwanamke unaye tembea na mume wa ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe ujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako

hahahahaaahahahha watu wengine mpoje lakini?Tayari bwana ametwaa...
kabisaNadhani anamjua mwizi wake, na huyo mwizi atakuwa ni member humu JF na ujumbe umemfikia.