Kutema tema mate

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,514
Reaction score
146,036
What's really good JF MMU massive..??

I hope y'all's weekend is off to a great start as is mine's. I'm having a bang-up time in these neck of the woods.

It's been a minute since the last time I hung out witchu y'all [forum-wise].

I have this insatiable wanderlust that has me gallivanting all around the globe to the detriment of my being here...which is kinda good in a way...

Sasa leo hebu tulonge kidogo kuhusu first dates...

Hivi mnachukuliaje suala la mtu ambaye mmetoka kwa mara ya kwanza kutema tema mate?

Tuseme mmeenda kwenye moja ya hoteli za ufukweni mwa bahari.

Mmekaa kwenye ki gazebo chenu mnapiga stori vizuri tu. Ila kila baada ya muda mwenzio anatema mimate.

Sasa, binafsi ninajulikana [na baadhi ya watu] humu kwa kuwa mwepesi wa kupatwa na kinyaa. Kuna hadi msemo wa 'kinyaa cha Ngabu' [emoji3]

Hali kama hiyo kwangu ni deal-breaker. Ndiyo, najua kutema mate ni hali ya kikawaida kwa binadamu kama ilivyo kujamba na kadhalika.

Lakini kuna kupitiliza na kuna namna ya kuficha ili ufanye hivyo katika faragha yako mwenyewe.

Sasa mtu anayetema tema mimate kwenye first date...hapo kutakuwepo hata na kiss baadaye kweli?

Mtu kama huyo mimi nitamchukulia kuwa hana kabisa decorum. Huko kutema kwake mate hovyo hovyo ni breach of ettiquette.

Mbaya zaidi kuanzia hapo kila nikimwona picha ya yeye kutema mate itakuwa inanirudia rudia kichwani. Hivyo hakutakuwa na uwezekano wa second date hata kama ana qualities zingine nzuri.

So what say you.....
 
Kweli. Hata mimi mtu anae tema mate ovyo. Makamasi kupenga ovyo. Mbalimbali Kabisa.
Ntamkwepa na hata nikiona hivyo kula kwangu itakuwa mtihani kabisa
 
Unaujua ugoro? Rafiki mla kuber, parki, gutka na matambuu aisee...au unakuta jitu linajichokonoa mapua kisha linakusalimia kwa kukupa mkono
 
UNAOGOPA KUTEMA MATE HOVYO WAKATI BAADAE UNANYONYA MATE AKA DENDA???!
 
Kweli. Hata mimi mtu anae tema mate ovyo. Makamasi kupenga ovyo. Mbalimbali Kabisa.
Ntamkwepa na hata nikiona hivyo kula kwangu itakuwa mtihani kabisa

Welcome to the club ma'am!
 
Unaujua ugoro? Rafiki mla kuber, parki, gutka na matambuu aisee...au unakuta jitu linajichokonoa mapua kisha linakusalimia kwa kukupa mkono

Hahahaaaaaa

Au kuna jamaa wengine huwa wanaingiza mikono yao kwenye suruali zao halafu wanaanza kujikuna.

Hapo labda mmesimama njiani mnaongea kidogo.

Mkishamaliza mwenzio ana extend mkono wake kukuaga.

Bad manners.
 
Hahahaaaaaa

Au kuna jamaa wengine huwa wanaingiza mikono yao kwenye suruali zao halafu wanaanza kujikuna.

Hapo labda mmesimama njiani mnaongea kidogo.

Mkishamaliza mwenzio ana extend mkono wake kukuaga.

Bad manners.
Halaf unampa nawe mkono?baadae uje unishikie mi tushavu twangu[emoji22][emoji22]
 
Atakua mwenzio alikua na minyoo sugu,ungemshauri anywe dawa! hahahah
 
hahahahahahahahah jaman JF raha kweli, kumbe tuko wengi tulioruka ile sehemu
cjui lugha gani ile maana kimalkia sio kimalkia duuuuh

mwenzangu me nimepita kushoto hapo.....
 

Hahahahahhahaaa usiombe kukutana na mchokozi na mtundu kama mtu fudenge..... uchokozi na utundu utakaofanyiwa mwenyewe hutokumbuka kama una kinyaa au unaghairisha kuomba mtoko wa pili heheheheh.

Aahahahahahahhahahaaa nimekumbuka kitu halafu nimebaki nacheka mwenyewe Hehehehehehehehehehehehehehehehehee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…