Kuna siku Mwigulu Mchema atakunya kule bungeni na spika atamwangalia tu.
picha itathibitisha zaidi..angalia uso wake na waombolezaji wengine....Hahaha..mkuu thibitisha hilo!
Ni hatari kuliko waliolimwa panga janaSasa inanipasa kuionea huruma CCM kuliko,kwa kuwa na huyu jamaa km kiongozi wa kitaifa..Siku wanaamka watamkuta milembe ndipo watajiuliza CDM walishaona hayo kabla ya CCM wanayeishi naye.
So far CCM wataona huo uendawazimu wake km janja ya kuiua CDM.
atakuwa kalogwa sio bure
Si ajabu baada ya kitendo hicho kuna "mizigo" ilimpongeza nje ya bunge. Akapimwe labda kuna kiumbe kinakua tumboni mwake.
Vitendo vya aibu aisee
Kwanza ni uchafu wa hali ya juu yaani anatema mate ndani? Chini? Aibu I guess he does the same in his home