Wanajeshi kuingia kwenye siasa vipi hapoHujui ulisemalo, wenyeviti wote wa CCM huingia kwenye uongozi na kuondoka ndani ya muda unaokubalika kikatiba. Kile ni chama cha kitaifa na hakijawahi kupoteza muonekano wa kitaifa. Hakuna mambo ya Baba Mkwe na Mkwe, hakuna mambo ya mjomba na kaka yake shangazi kuwa na mamlaka kwenye vikao.
Mlieka vyama vingi vya nini?Sawa tuu! Ila chadema kuingia ikulu ni sawa na kuvunja jiwe utegemee damu itoke,
Tanzania na watatnzania tunahitaji elimu kwanza,,nafikiri in five or ten years to come mtoa mada utaeleweka vema na uzi wako utafufuliwa,,,,watanzania hawana elimu walio wengi na hukimbilia ushabiki wasiojua,,,,baadae hujutia na kushtuka wakati muda ushapita,,,misingi huwekwa kwanza na baadae usimamizi,,,hapa naona ushabiki na uvunjaji wa maadili na sharia,,haiwezekan mtu kashindwa uchaguzi unamteua kiongoz kama vile hakuna watu,,,mungu amjalie trump kwa mwangaza afrika
Soma utaelewa vizuriAkili za kushikiwa hizi? Hebu eleza ni wapi sheria inavunjwa? maana Mkuu wa mkoa kapewe hiyo haki kisheria wala sio kwa mabavu, kua wanayo haki kisheria kumueka mtu ndani si zaidi ya masaa 48
Nani mvunja sheria hapo?Wapinzani wamegeuka watetezi wa wafanya makosa.
Kweli nyakati zinaenda kasi sana.
Wanajeshi wastaafu, ni utamaduni wa miaka mingi, chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na watu waaminifu ambao wapo tayari kutii mamlaka ya rais. Wanajeshi wastaafu, kwanza pamoja na ustaafu wao wanao ukakamavu na utayari wa kutoliogopa tatizo. Pili ni sehemu ya mfumo wa utawala, ni lazima kwenye nchi pawepo na sauti moja kuanzia juu mpaka chini. Usishangae sana suala la wanajeshi wastaafu, CHADEMA wanayo red brigade, maana yake ni kwamba mkikabidhiwa nchi wale makamanda wanaovaa miwani nyeusi na suti na ambao wapo tayari kumpa heshima mwenyekiti mbowe, watakuwa ni watu muhimu wenye kutakiwa kufanya kazi nzito za nchi.Wanajeshi kuingia kwenye siasa vipi hapo
Wenye kutorosha pembe za ndovu ni vongozi wenu kwenye vyama vyenu vya siasa mnajifanya hamuwaoniMwanahabari huru-Wewe kwa maoni yako unadhani wapinzani wanaweza kuiendeleza hii nchi?Nchi hii watu siyo waoga tena.Pamoja na utumbuaji majipu,pembe (meno) za ndovu zimeendelea kutoroshwa nchini kuiptia mipaka yetu hadi shehena kubwa zinakamatwa na kuchomwa moto nchini Malawi na Kenya.Kwa sisi wazazi ukiwa unamfokeafokea mtoto kila siku bila kumpa adhabu baadae anakuzoea.
Ni hapo Lumumba tu ndio mnakubalianaHapa ni mwendo wa 220KH mpaka 2025, naona bavicha mnalialia tu!
Endeleeni kukosoa, ndo kazi daima ya chadema, kuikosoa serikali ya sisiemu. Mtaani huu upuuzi uliouandika hawatakuelewa, wanakubaliana na kila kitu anachofanya JPM, naongelea watanzania walio wengi na wenye akili timamu!
Huu upuuzi ni siasa tu za maji taka! Mngekuja na hoja za maana na zinazokubalika kwa wananchi angalau mngekuwa na chansi! Hapa kwa kweli hamna kitu!
Ndio chama kikongwe chenye kuonyesha njia kwa taifa zima. Ni chama ambacho kinazo taratibu ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi. Ni chama chenye wigo mpana wa watu ambao wanaweza kwa wakati mmoja kupewa vyeo mbalimbali. Hilo la kusema mafisi ni sehemu ya mihemko yako wewe, hasira za kijinga ambazo hazifanani na maongezi yetu yanayoendelea.Mnaendesha nchi kwa Tamaduni ndio maana hata fisi nitamaduni zenu
Waongozaji niwakina tembo Man? Wanaongoza misitu au Maliasili?Ndio chama kikongwe chenye kuonyesha njia kwa taifa zima. Ni chama ambacho kinazo taratibu ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi. Ni chama chenye wigo mpana wa watu ambao wanaweza kwa wakati mmoja kupewa vyeo mbalimbali. Hilo la kusema mafisi ni sehemu ya mihemko yako wewe, hasira za kijinga ambazo hazifanani na maongezi yetu yanayoendelea.
Upuzi wangu ni upi? Jibu hojawe mpuuzi hujui rais ana masna gani.
Mpuuzi ni yule amwitae mwenzie mpuuzi,jibu hoja kwa hoja,wewe balozi wa zambiawe mpuuzi hujui rais ana masna gani.