Kutegemea Mabadiliko Kupitia CCM, Ni Sawa na kutegemea Kukamua Kuku Maziwa

Tukubaliane hakuna binadamu aliyekamilika lakini hata akina Lowassa waliokuwa na ndoto za mabadiliko walifikia sehemu wakaliona hilo, angalau sasa wanaweza kueleza kile wanachoamini.
 
Hujui ulisemalo, wenyeviti wote wa CCM huingia kwenye uongozi na kuondoka ndani ya muda unaokubalika kikatiba. Kile ni chama cha kitaifa na hakijawahi kupoteza muonekano wa kitaifa. Hakuna mambo ya Baba Mkwe na Mkwe, hakuna mambo ya mjomba na kaka yake shangazi kuwa na mamlaka kwenye vikao.
Wanajeshi kuingia kwenye siasa vipi hapo
 
Akili za kushikiwa hizi? Hebu eleza ni wapi sheria inavunjwa? maana Mkuu wa mkoa kapewe hiyo haki kisheria wala sio kwa mabavu, kua wanayo haki kisheria kumueka mtu ndani si zaidi ya masaa 48
 
Tanzania na watatnzania tunahitaji elimu kwanza,,nafikiri in five or ten years to come mtoa mada utaeleweka vema na uzi wako utafufuliwa,,,,watanzania hawana elimu walio wengi na hukimbilia ushabiki wasiojua,,,,baadae hujutia na kushtuka wakati muda ushapita,,,misingi huwekwa kwanza na baadae usimamizi,,,hapa naona ushabiki na uvunjaji wa maadili na sharia,,haiwezekan mtu kashindwa uchaguzi unamteua kiongoz kama vile hakuna watu,,,mungu amjalie trump kwa mwangaza afrika
 
Akili za kushikiwa hizi? Hebu eleza ni wapi sheria inavunjwa? maana Mkuu wa mkoa kapewe hiyo haki kisheria wala sio kwa mabavu, kua wanayo haki kisheria kumueka mtu ndani si zaidi ya masaa 48
Soma utaelewa vizuri
 
Wanajeshi kuingia kwenye siasa vipi hapo
Wanajeshi wastaafu, ni utamaduni wa miaka mingi, chama chochote cha siasa ni lazima kiwe na watu waaminifu ambao wapo tayari kutii mamlaka ya rais. Wanajeshi wastaafu, kwanza pamoja na ustaafu wao wanao ukakamavu na utayari wa kutoliogopa tatizo. Pili ni sehemu ya mfumo wa utawala, ni lazima kwenye nchi pawepo na sauti moja kuanzia juu mpaka chini. Usishangae sana suala la wanajeshi wastaafu, CHADEMA wanayo red brigade, maana yake ni kwamba mkikabidhiwa nchi wale makamanda wanaovaa miwani nyeusi na suti na ambao wapo tayari kumpa heshima mwenyekiti mbowe, watakuwa ni watu muhimu wenye kutakiwa kufanya kazi nzito za nchi.
 
Mwanahabari huru-Wewe kwa maoni yako unadhani wapinzani wanaweza kuiendeleza hii nchi?Nchi hii watu siyo waoga tena.Pamoja na utumbuaji majipu,pembe (meno) za ndovu zimeendelea kutoroshwa nchini kuiptia mipaka yetu hadi shehena kubwa zinakamatwa na kuchomwa moto nchini Malawi na Kenya.Kwa sisi wazazi ukiwa unamfokeafokea mtoto kila siku bila kumpa adhabu baadae anakuzoea.
Wenye kutorosha pembe za ndovu ni vongozi wenu kwenye vyama vyenu vya siasa mnajifanya hamuwaoni
 
Hapa ni mwendo wa 220KH mpaka 2025, naona bavicha mnalialia tu!
Endeleeni kukosoa, ndo kazi daima ya chadema, kuikosoa serikali ya sisiemu. Mtaani huu upuuzi uliouandika hawatakuelewa, wanakubaliana na kila kitu anachofanya JPM, naongelea watanzania walio wengi na wenye akili timamu!
Huu upuuzi ni siasa tu za maji taka! Mngekuja na hoja za maana na zinazokubalika kwa wananchi angalau mngekuwa na chansi! Hapa kwa kweli hamna kitu!
 
Ni hapo Lumumba tu ndio mnakubaliana
 
Mnaendesha nchi kwa Tamaduni ndio maana hata fisi nitamaduni zenu
Ndio chama kikongwe chenye kuonyesha njia kwa taifa zima. Ni chama ambacho kinazo taratibu ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi. Ni chama chenye wigo mpana wa watu ambao wanaweza kwa wakati mmoja kupewa vyeo mbalimbali. Hilo la kusema mafisi ni sehemu ya mihemko yako wewe, hasira za kijinga ambazo hazifanani na maongezi yetu yanayoendelea.
 
Waongozaji niwakina tembo Man? Wanaongoza misitu au Maliasili?
 
Binafsi nina wasi wasi na uwezo wako wa uelewa au pengine ujambuzi wako ni wa kihistoria na sio wa Kisayansi.

  1. Kwa mtu muelewa; ningetegea ujiulize; Raisi amekaa madarakani kwa muda gani?
  2. Ameweza kuongeza ukusanjaji wa mapato kwa kiasi gani?
  3. Katika kuongeza ukusanyaji wa mapato ni kazi kiasi gani imefanyika?
  4. Changamoto kadhaa za Elimu zimeanza kupatiwa majawabu; ikiwepo Elimu bure shule za msingi na sekondari; Wanafunzi wote wawe wamekaa kwenye madaraka ndani ya miezi sita; Vyuo vikuu vimeanza kukaguliwa ubora na baadhi vimenza kufungwa na vingine kupewa muda.nk
  5. Shule za Serikali zina pitiwa upia zifanyiwe maboresho na kurudisha hadhi yake ya enzi ya mwl Nyerere nk.
  6. KUMBUKA: Nchi haindeshwi kwa kufurahisha watu ..inaendeshwa kwa utaratibu...na hata hao wafanya biashara wakubwa waliokwepa kodi bado tunawahitaji kwani Nchi huwei kuendesha bila wafanya biashara- Japo inahitajika wafuate utaratibu ambao walikuwa hawajauzoea.
  7. wewe ni lile kundi la watu wanao angalia upande mmoja wa kukosoa tena kwa hoja za mtoto wa Nassari??? Ungeandika na upande wa Pili wa yaliyo fanyika kwa siku mia ili tulinganishe (Ingekuwa ni research hapa umepata Zero au basi 5% ya supervisor)
  8. Unaweza kujiuliza tu Rais Obama imemchukua muda gani kufunga lile Gereza la guantanamo bay prison cell???

Uzuri ni kuwa Nchi zilizo tuzunguka na Mataifa ya Dunia yana anza kutupigia mifano kwa utawala bora unaowajali wananchi... wewe ndio Kipofu usiyeona kazi iliyofanyika kwa siku mia!!
 
Back
Top Bottom