Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane

Hizo rockets zitakuwa za aina nyingi na tofauti na kwa ùchache zitakuwa na sifa zifuatazo
  1. Kiwango cha chini cha kubeba mzigo ni tone laki 5
  2. Kiwango cha juu cha kubeba mzigo ni tone million 10
  3. Kuwa na speed inayokaribia, sawa na baade zaidi ya mwanga nikimanisha rockets inaweza toka sayari ya Mercury mpaka Pluto kwa masaa kuanzia 10, 8 na 4
  4. Gharama ya kutengeneza inatakiwa iwe ndogo ili kuwe na faida
  5. Itakuwa power na motor yenye nguvu kupita maelezo imagine motor inayoweza kubeba tone million 1 au million 10 definitely itakuwa na nguvu sana

NIKIWA RAIS WA TANZANIA hizo rockets itakuwa inatengenezwa hapa Tanzania na tutafanikisha hata kama sio mimi nikiwa hai bali ntetengeneza mazingira ili vizazi vijavyo waweze kufanikisha utengenezaji wa rockets ambao itawezesha space colonization to be a reality na kuweze ku-utulize hizo quadrillion moja ambazo bado zipo untapped kwenye sayari nyingine tofauti na duniani

Faida za space colonization
  1. Itapunguza over-utilization ya resources hapa duniani
  2. Itaongeza ulinzi wa mazingira kupitia point namba 1
 
Bhange njema! Sio kwamba haiwezekani inawezekana ila hairuhusiwi na mabeberu! Siku tukianza kuunda hizo wao watakuwa wanaunda quantum ships!
 
Back
Top Bottom