Kutapambazuka!

[emoji120] [emoji120] [emoji123] [emoji115] chama ndio kinaangaliwa kuliko maslahi mapana ya nchi... Kipaumbele ni ccm isitoke madarakani hivyo ukiandika uhalisia watakuona bogus tuu... Ila uzuri ni kwamba maandishi hayafutiki
Kweli mkuu
 
Hata kama sio kizazi chetu lazima kutapambazuka tu mkuu! Ahsante sana kwa bandiko zuri la matumaini. Salute!
 
Your thinking makes it so. Nchi za kiafrika zina laana, haiwezekani shida iwe Africa (mostly) tu.
Ubinafsi + Ubabe + ukabila nk. ndio mitaji ya viongozi wengi wa Kiafrika.
 

Attachments

  • MUGABE-FALLING DOWN.jpg
    54.8 KB · Views: 25
Ndo kunaanza kupambazuka si unaona miundombinu inavyozidi kutengenezwa kukaribisha uchumi wa kati
 
mie naona jamaa yupo bize kupambana na teknolojia alipaswa tu kutambua kwa sasa dunia bila teknolojia kazi bureeeeeeeeeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…