Kutangaza nia ya ubunge CHADEMA

Kutangaza nia ya ubunge CHADEMA

Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni

Mambo ya kutangaza nia siyo sera ya chadema
 
tondoli kagombee kupitia magamba aka chama cha mapingamizi, mafisadi, escrow, malori, wachawi, wafitini, wambea, waongo....na wasaka tonge, wezi wa kura.
hahahahaaaaaa kweli mkuu umenichoka,sawa bana
 
Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni

je umeifanyia nini cdm hadi sasa ? Wewe ni mwanachama ? Soma katiba ya cdm , utaratibu wote uko mle ndani .
 
Tumaini Makene changamka uweke taratibu zote hadharani ili watu wanaotaka kugombea wajue. Wanapojitokeza watu wengi kugombea ndio mchujo unakuwa mkali na mtapata wagombea wazuri.

Mkigongwa mapingamizi na kwenye ubunge na udiwani au CCM ikipita bila kupingwa patachimbika aisee. Tunataka maescrow yawe Segerea tarehe kama hizi mwakani
 
UKAWA iwe makini hatutaki magamba yatumie mapingamizi. ..sasa mtu kama Tondoli atasababisha magamba yaweke mapingamizi. ..ni mbinu ambayo magamba yanaitumia baada ya zote kufeli.
 
MM SIJANZA KUJENGA CHAMA LEO,mafanikio unayoyaona yana mchango wangu mkubwa ila kwa bahati mbaya sina kiherehere cha watu kunijua, mm ni mtu wa matendo. Na kuuliza c ujinga

Njoo Kyela uone nilivyo jiwekea mazingira mazuri kumuondoa Dr Mwakyembe!Ukifika kijiji changu Ipinda ulizia Malafyale

Kijijini kwangu na Ipinda kwa jumla CCM ni bidhaa adimu sana,fanya hivi then wananchi wenyewe watakutangaza
 
mpaka nauliza hv nimeona kuna mtu anakabidhi barua ya kutangaza nia kwa mwenyekiti wa wilaya, ndio maana nikauliza hivyo. hata hivyo majibu nimeyapata. asanteni sana.
 
Back
Top Bottom