Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,820
- 69,111
unalipa swaumu za period au? khaaa.
Nalipa zote na za matusi nitukanayo humu hhhaaa
unalipa swaumu za period au? khaaa.
niruhusu nije nae tumfundishe mnyoosho. nije na olive oil au bio oil? lol.
Nalipa zote na za matusi nitukanayo humu hhhaaa
JF Haijabarikiwa wasichana wazuri, labda akina mama wazuri kuna mmoja alikuwaga anaitwa WomanOfSubstance
wife uyu Junior. Cux ananata kuniua nikiwa mzima kisa my wife, atafute humu mabinti wabichi wapo weeengi
hauji hadi uchokozwe!!! vibaya hivo.
Sitaki PM tafadhali, otherwise muombe ruksa toka kwa my hezbend @C6
![]()
Aisee... my daughter how are you?
Asee ngoja nijifotoe
Photo coming soon
Aiseee hiyo itakuwa ngumu utasababisha tukose hata pm.....lol