Samsung mwaka huu wamechemka kwa fragship hii, watu tulitegemea features za kufa mtu, tofauti na mategemeo yetu tumeletewa vitu ambavyo vimezoeleka kwa sasa, hata design ya simu imebaki kuwa ile ile ya kutokea s3, labda ajipange atoe model nyingine, nijuavyo competetor wake walikuwa wanamuangalia yeye atakuja na nini ili nao watokeje, ndo maana tumeshudia makampuni kama htc na nokia wakitoa mid-range phone kama htc desire 816 na 610, na nokia nokia x na xl. Natumaini makampuni mengine watajitahidi kutoka na vitu vya ukweli ili kuvuta soko la samsung kwao