Kutana na Nyoka mwenye uwezo wa kuruka.

Kutana na Nyoka mwenye uwezo wa kuruka.

NASIKIAGA KWENYE HADITHI KWAMBA WALIKUWEPO NYOKA WANAORUKA MAWINGUNI WAKUBWA ZAIDI YA ANACONDA MACHO YAO YANAWAKA KAMA MWANGA MWEKUNDU MKALI NA WAKIPITA MTONI LAZIMA MAFURIKO YATOKEE 😀😀😀, PIA NASIKIA ETI MIKIANI WANA ALMASI NA VITO VYA THAMANI SAANA.

BUT IT'S ALL A MYTH
 
NASIKIAGA KWENYE HADITHI KWAMBA WALIKUWEPO NYOKA WANAORUKA MAWINGUNI WAKUBWA KAMA ANACONDA NA WAKIPITA MTONI LAZIMA MAFURIKO YATOKEE 😀😀😀, PIA NASIKIA ETI MIKIANI WANA ALMASI NA VITO VYA THAMANI SAANA.

BUT IT'S ALL A MYTH
Ni mastori tu hayo Kamanda.
 
Hao wapo wengi huku kwetu madongo kuinama
Si kweli Dada, kuna stori nyingi za kitaani kwamba Nyoka wanaweza kuruka...ila sio ukweli.

Nyoka wanajua kuogelea ila kuruka hapana.
 
Hawa wapo tz,nilikua namshuhudia mmoja nyumbani Umba-Muheza-Tanga nikiwa primary school. Nyumba ya jirani kulikua na muembe mkubwa sana na kwetu kulikua na mpera,kila siku jioni alikua anakuja anapanda kwenye muembe anarukia kwenye mpera,nilikua naenjoy kumtazama tu
 
Inasemekana hata huku kwetu walikuwepo miaka ya nyuma...wana tabia ya kukaa kwenye mapori makubwa yaliyoshona.Hawapendi kelele na huwa wanashambulia sehemu ya ubongo (kichwani).Wanafanana na nyoka aina ya koboko,watu wa zamani walikua wakitembea na vyungu kichwani vyenye uji wa moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu anaruka ila hapai kwenda juu,ina maana kati ya mti na mti ndivyo ajirushavyo,ila hata hvyo ni wa hatari
 
Back
Top Bottom