Kutana na Neema cha Mwambe

Kmmk hahaaa
Umeghairi au..? Sema upesi ili tujue tunafanyaje kukuwahisha maana naona umechoka ugali dagaa wakati hiyo ndo keki yetu..!
Nikiamka asubuhi hicho ndo kifungua kinywa!.. hiyo ndo lunch na dinner pia ndio maana hata akili zangu zimekaa ki dagadagaa..πŸ˜‚

Mkuu weka na picha ya mwanamke wa kwanza kusema ile hela nitumie kwenye namba hii..πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…