Kutana na harusi ya aina yake

Kuna jamaa yangu inamuhusu hii!
 
mahali umenikosea ni ulivyosema sisi ni wawakilishi wa lucifa, then unaanza kuandika lucifa eti kwa herufi kubwa. yaan umenichosha kabisa. you mean umezaliwa na muwakilishi wa lucifa? wakati mwingine mnavyoandika comment mkumbuke muna dada, mama na shangazi zenu.

nimechukia sana kwa kweli.
 
Hila kweli kakosea make unaposema wanawake its mean had mama ake
 
What you wrote n what you wanted to mean are quite different. She has been dumped, that's your implication I guess mkuu
mimi nilielewa na hata wewe ulielewa ndo maana ukaweka kizungu kizuri. asante kutufundisha kiingereza
 
We unaongea nini..acha utoto
 
Mbona Zakaria n handsome jaman sema kiswahili tu ndo kibaya. Ukiwa na pesa hata kama sura lako lmepinda ww n handsome. Mwanaume mzuri kwan namla nyama.
 
Mi nashangaa comment za wanaume humu mara Sijui kafata pesa na nn lakin mnashindwa kuelewa kwamba kwa uzuri alionao dada hapo angeweza kumpata tu mwanaume handsome na mwenye mapesa lakin sisi hatujui wapi wametoka mpaka kufikia hapo in short ni kazima kuna jambo limemfanya huyo Dada mpaka kuamua kuolewa nae jamaa ana haki ya kupendwa kila MTU anahaki ya kupenda na kuchagua wake hongera kaka na hongera dad kwa ujasiri wako big up
 
Ila jaman pesa tunazipenda ila sio kwa kiasi hiki chaa! Mtoto wangu me simpi iyo mbegu atakuja nilaani baadae bure
 
Kamefata pesa hako..
binadam hatunaga jema, angemtosa mngesema kabagua shepu. Utakuta watu wana mapenz yao ya kweli. kama Mungu kakupangia wako ni wako tuu piga uwa garagaza, HATA AWE NA SHEPU KAMA GURUDUM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…