Kutana na harusi ya aina yake

Awe na Kibamia, asiwe nacho, nyinyi inawahusu nini, Acheni kumshambulia kaka yangu
 
Nawapongeza wanawake kwa kutojali maumbile ya mtu inapokuja suala la mapenzi! Vinginevyo walemavu wasingeoa kabisa!

Mlemavu kiwete kabisa lakini utakuta kaoa binti beautiful ile mbaya!!

Acheni hizo binadamu huijui kesho yako!!!
Kabisa
 
Sura ya huyu kaka ina ubaya gani? Hebu weka picha yako tuone ulivyo mzuri. Jina lako halifanani na andiko lako. Wise person hawezi kumsemea maneno haya binadamu mwenzake, kwani inafikiri yeye alijiumba?
Mpuuzi sana huyo jamaa,Eti sura libaya,ya kwake ingekuwa nzuri si angeiweka kama profile?...Nina uhakika kabisa huyu mpuuzi angepewa nafasi ya kujiumba asingejiumba na Sura hiyo aluonayo...Anajiita 'wise'afu anaongea upuuzi,Ndezi uyu.
 
Mjinga huyo mkuu,Tena ukiona janaume lina mawazo ya kindezi ndezi kama hayo ujue halijiamini,We mwanaume kila siku umekaa kuwalaume wanawake as if walijiumba wenyewe?...Eti women are dangerous!!,for what?,Mwanaume unalalamika lalamika tuu,eti wanawake ni hatari!!..Hatari ipi hasa kama sio wewe mwanaume umekuwa dhaifu?...Asiwalaumu wanawake kwa udhifu wake...Stupid
 
Śio vizur huwez kumwita binadamu mwenzako hana mbele wala nyuma
 
 
Unaye lalamika ulitaka oooh mwanaume mbaya, kafata pesa ulitaka uolewe wewe ndo uwe haujafata pesa ukiona mpaka kakubali kuolewa ujue kamuona huyo kati ya mania elfu
 
Nimegundua kumbe baadhi ya wanaume wenzangu humu wana wivu wakijinga.ni ajabu kukwambia mwanaume mwenzako anasura mbaya hya mwenzako ndo ivo kesha opoa mtoto mzuri we unabaki kupiga kelele huku
 
niiiiice.. wanawake nawakubali saana yani yan huko mitandaoni wanaongea na sifa kibao sijui six pack aende hewani sijui udambwi gani gani.. lakin mwisho file linafungwa hivi... keep it up
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tz kwa mipasho tu mmmmh hatujambo!! Comments zinafanana na vipindi vya Gea Habibu!
 

Shost,Endelea kufikiria hivyohivyo tu utasugua benchi mpaka ukome,hao wenye sixpack unaowasubiri wataishia kukugonga tu unarudi kulala kwenye na janaba lako .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…