Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
3,956
2,439
Ni fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zetu ni nafuu kulingana na uchumi wa mtanzania.

Pia, tunafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.

PIA, TUNATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.
BEI ZETU NI NAFUU SANA.

Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'Fundi mahiri wa ujenzi'.

Mawasiliano.

0624088590
Whatsap 0655173113

Barua pepe:

paulbuildingagency@outlook.com
pmoses951@gmail.com
 

Attachments

  • IMG-20220803-WA0034.jpg
    96.8 KB · Views: 107

Nipo kwenye mchakato wa kutaka kujenga apartment za nzuri na bora lakini kwa bei nafuu. Ziwe stadard zinazoweza kukaliwa na watu wenye kipato cha kati. Nataka kujua round figure ya gharama zake kwa apartment za vyumba viwili na vilevile vitatu. Vyumba viwili kuwe na master moja, living room, dining, kitchen/small store, public toilet.

Nafahamu kuwa ukijenga kwa kuunganisha kama ni nyingi gharama inashuka, sasa nifanyie wastani wa gharama ya kujenga apartment 12 za vyumba viwili zilizojengwa kama nyumba moja kwa design ambayo wewe unaijua.

Then angalia gharama ya apartment 4 za vyumba vitatu ikijengwa pamoja na apartments 6 zenye vymba viwili. Just provide me with an average cost of the complete apartment which includes all costs of construction materials plus labour, nyumba iliyo tayari kutumika. Thanks
 
Ok, hiyo sehemu INA slop au tambalale? Na IPO mkoa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…