Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,175 Reaction score 143,966 Nov 12, 2016 #1 Hizi kampeni zilikuwa na vituko sana mwaka huu. Kabla ya uchaguzi wote hawa walikuwa wanaonekana vituko tu. Lakini baada ya uchaguzi naona heshima imewekwa mbele.
Hizi kampeni zilikuwa na vituko sana mwaka huu. Kabla ya uchaguzi wote hawa walikuwa wanaonekana vituko tu. Lakini baada ya uchaguzi naona heshima imewekwa mbele.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,175 Reaction score 143,966 Nov 12, 2016 Thread starter #2
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,662 Nov 12, 2016 #3 Safi sana, hawakuwa wanafiki na wamelinda maono yao na heshima yao