officialBossmtoto
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 370
- 1,230
Nyingi kimara tuu [emoji615]️. Ambao hatutaki huko mnatuweka wapi. Njna shida sana na nyumba.
Nyingi kimara tuu [emoji615]️. Ambao hatutaki huko mnatuweka wapi. Njna shida sana na nyumba.
Madalali bhana eti mwezi mmoja umlipe yeye
Mbagala chamazi maji matituMKUU ,NAWEZA NIKAPATA WAPI CHUMBA BEI ISIZIDI 20K per monthly (kulingana na uchumi wangu), ??
BOSS VP HAPO MAGOMEN-NDANI NDANI AROUND MOROGORO RD ?Mbagala chamazi maji matitu
MKUU ,NAWEZA NIKAPATA WAPI CHUMBA BEI ISIZIDI 20K per monthly (kulingana na uchumi wangu), ??
maeneo ya kariakoo au Ilala chumba bei gani???
nahitaji master...inategemea na ubora wa chumba
Unahitaji master au chumba cha kawaida
nahitaji master...
Je naweza viona??Laki 1.5 hadi laki 3 kumbuka Bei inategemea na ubora wa chumba
Je naweza viona??
Unamaanisha nn nduguNina nyumba ya chini maeneo ya Kariakoo unaweza nitafutia Ubia??
ntakupigiaaUnamaanisha nn Unamaanisha nn ndugu