Kodi gani?Usimtishe mtu.Wako madalali kibao wengine hata hawana uraia.Au kwa kuwa kajitangaza mtandaoni.Huku mitaani wapo kibao wana vijiwe vyao.Una kibali cha udalali? Una nyaraka za mlipa kodi? Nyie ndio mnaoibia sekta ya nyumba nchini. Kwa vile umeweka na mawasiliano yako basi tarajia ugeni halali ndani ya siku 10. Tumedhamiria kukomesha biashara haramu kwenye ardhi na nyumba nchini.