Asante Doc nimekusoma.LiZzy. Kusema kweli mimi sijakutana na situation kama hii in real life. Cross my heart, Nimejaribu to keep away from women after discovering the woman I was living with was double crossing me. I had two beautiful doughters with her and had to let her go. My 2nd was arranged by my family and we R together blessed with two boys and a girl.
My first alinitambulisha kwa na nilikuwa nimekubalika ingawaje ilikuwa sio chaguo la family yangu lakini walimkubali. Yalipo nitokea saana walikuwa wananiambia; si tulikuambia, unaona sasa.
I am planning kuongeza wa pili ambaye yuko nursing college Mtwara. Huyu kwao ninatambulika na kwetu well so and so. Marafiki zake waliopo hapa saaana wananitembelea home. Lakini my wife amekubali shingo upande. Maadili ya kidini yanambana.
I hope nimekujibu lakini kwa mifano ya life yangu.
Natamka rasmi KUKUTAMBUWA.Valentine mimi najitambua ila SITAMBULIKI!!
Kwa jamaa na jamaa zake.
Kama Lizzy Jimama,...Hhhhmmm uniTAMBUE vipi Valentine?
Not yet. . . nataka tuanze na yeye, jamaa zake alafu ndio kwa jamaa zangu.
Ili kikisanuka upande wa kwenu usiwe na kero za kuulizwa shemeji yuko wapi siku hizi!! Janjaweed.Not yet. . . nataka tuanze na yeye, jamaa zake alafu ndio kwa jamaa zangu.
Mi nipo standby. . .nasubiria tu aniambie angependa NIMTAMBUE.
Mr Rocky hii ni practical. . .yani kimatendo zaidi.
Haya tayari. . .vipi yeye sasa?
Nimeshadeposit cash, to be delivered on 14/2Hahahaha. . . Jimama huliwezi aisee.
Alafu maua umeshaninunulia?Napenda Lilies. . . just so you know!!Lolz
Yaani ukirudi hutoamini macho yako, ndio utakuta yamenoga ile mbaya!Ngoja nikapate kahawa nitarudi baadae mkishamaliza maongezi yenu
Maana naachwa kwenye mataa pale ubungo sijui niende posta au mwenge au bandari au airport au nirudi morogoro