Kutamaniwa na wanawake kwa mwanaume anapooa

Kutamaniwa na wanawake kwa mwanaume anapooa

Nadhani sababu wanajua hata wakikunyima tamu usiku utaenda kutia kwa mkeo so wala hawakubabaishi.

Lengo la kutunyima huwa ni roho mbaya Tu hakuna jipya.
 
Hivi kwanza utasex na mtu wa mtu ukikaa kujua anamtu wake wakudu hivi utajishaua eti na wewe unamtu this is rubbish yaani hupendi kumjua tu ukamsotea ukawa naye au mkapanga mambo yenu.
Eti upo na baby wangu na huku ni baby wa mtu mimi inanikera juzi nimempa mtu sawa na sahani yake wewe unayeota watu wawatu hujishangai umekosa ramani?
Sikatai kama unawatamani unawanunilia zawadi unawapangia nyumba unamuacha mtu yupo single unaenda kuharibu familia ya watu kisa nini?
Acheni laana tulieni sio kila kitu ni ridhiki.
 
Back
Top Bottom