AiseeWe endelea kutamani wake za watu
😂😂😂Aisee
Umeridhia tukutamani
Kijana anataka kujihalalishia dhambi, mwache ajifunze in hard wayUmeridhia tukutamani
Dhambi ni kitu ganiMfano nikamtamani mke wa mtu halafu sijamtongoza au kumla, hapo dhambi inakuwa wapi?
Na je? Ni kifanya nae kabisa inamaana napata dhambi mbili au sio.
bibliaHizo dhambi zimeandikwa wapi mkuu, 🤔
Kvp?Dhambi hiyo......usijizime data kuna dhambi za kuwaza zipo hata kama hujaamua kutenda jambo
Kwahyo anapata mimba huyo mwanamke?According to New Testament
Vitu vipo kiroho na mwilini ni completion tu
So ukitamani tu ushafanya
Na ukifanya kimwili umehitimisha tu so no double counting 😀