Kutaka sifa kungenitoa roho!

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
3,520
6,503
Uvulana ni shida Sana!

Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na kuinjoy beach.

Ilikuwa miaka ya 1998/99 huko kivukoni maeneo ya Kigamboni, tukiwa watoto wa kota wa kile chuo ambacho kwa sasa kinaitwa Mwalimu Nyerere Memorial ila wakati ule kilikuwa kinajulikana kama chuo cha CCM Kivukoni. Kama unavyojua bahari ya Hindi iko karibu yetu kabisa, kwahiyo kuogelea siyo ishu kwetu kabisa.

Basi bwana siku ya kutaka kwenda kwa muumba wa mbingu na ardhi ilikuwa kama inani beep hivi. Kwa wale wakazi wa Kigamboni nadhani wanajua kuna ile minara ya kuongozea meli kuonyesha mipaka ya mwisho ambapo meli inatakiwa isiende nje ya hapo la sivyo yaweza kwenda nasa mchangani katika kina kidogo na huwa na taa nyekundu.

Sasa bwana kutokea ule upande wa kota zetu kuna mnara upo mbali kidogo kutoka nchi kavu na maji yakijaa ndiyo balaa zaidi. Basi bwana tukaweka ligi na mwamba mmoja tuende kwenye mnara na kupanda juu yake na kumpuzika kidogo na kurudi nchi kavu!

Dah sio poa kabisa, mwamba alikuwa anaenda sana ruti zile kwahiyo pumzi ya kutosha anayo. Sasa mimi bwana sikuwahi kwenda pande zile na kwa kukadiria ni kama mita 80 kutoka nchi kavu, na maji yamejaa kama yote. Kuhusu kuogelea niko vizuri lakini pumzi ikakata kama ilivyokata jana Kwa Mwakinyo! Sijui jamaa walijuaje kuwa mwamba pumzi ilikata, hilo nawaachia wao eti ndiyo maana mwamba akaona isiwe tabu ya nini kupigwa mbele ya dunia nzima wakati mpunga tayari ushasoma akaone isiwe kesi akachuchumaa!

Basi bwana pumzi ikakata na nishafika katika mnara bado kama mita tano tu niuguse na nipumzike! Dah kifo nakiona hiki hapa, unajua nilichoka mpaka maji sasa yamefikia kwenye kidevu yaani nanyanyua kidevu juu ili nisinywe maji. Nikaanza kukumbuka ndugu zangu, wazazi wangu na maisha yangu. Nilijua naondoka katika hii sayari ya dunia, na yule mwamba niliye kuwa naye yeye alishapanda juu ya mnara na kupumzika lakini baada ya kuona parapanda kama inaanza kulia hivi akajitosa kwenye maji na kuondoka.

Yaani alijua muda si mrefu nazama akaona hataki ushahidi ngoja asepe..

Tupate mambo yetu 🍿🍿🍿.

Naam, basi kama siku ya kuondoka haijafika aisee hauondoki ng'o, kumbe bwana kule nchi Kavu wadau walishaona bwege mimi nimeshazidiwa so ikahitajika back up kidogo. Huwezi amini alikuja dogo kama wa darasa la tano hivi na kidumu cha lita tano kuja kuniokoa. Kwahiyo mimi na yeye ndiyo tukakitumia hicho kidumu kwenda nchi kavu. Unajua ukiwa unajua kuogelea waeza hata kuokoka na mkungu wa ndizi kwasababu unachohitaji ni kujishikilia kidogo tu na ukaelea. Kiufupi hakika kweli Mungu yupo, ilikuwaje yule dogo apate ujasiri wa kuja na kile kidumu na kuniokoa sikupata majibu lakini nilijua Mola wangu ndio aliniokoa!

Kuanzia siku Ile ninayaheshimu maji, hata nikiogelea siwezi kwenda mbali kama sijafanya mazoezi ya kutosha! Nilitaka sifa kuonekana kuwa najua kuyakata maji kama kambale lakini mwisho wa siku ningerest in peace!

Wengine mnapenda sifa kuwang'oa warembo, wengine kuwa mnapiga pombe kali na mambo kama hayo, sifa zitawaponza mazee!

Ni hayo tu.
 
Umenikumbusha mbali Mzee.

Mm nilipigwa Hadi nikazirai sababu ya kupenda sifa. Ilikuwa miaka ya 2000 Niko primary Mzee. Kipindi iko nipo darasa la 5 Nina wapambe Kama wote nikataka kupigana na dogo wa darasa la NNE. Ee hhana mechi ilipangwa ifanyike baada ya muda wa masomo.

Basi muda ulivyofika Wana wakanishtua na Yule mpinzani wangu akaambiwa twende uwanjani muda ndo huu. Aisee mm Nina wapambe Kama sutra jamaa yupo mwenyew. Wana wakanishikia viatu na begi ngumu zikaanza. Mara teke mara ngumu kwepa kwepa nikampatia ngumu moja Safi karibu na jicho aisee kumbe ndo nimemchokoza Simba nilikula mbata za mfululizo bila idadi Hadi nikaanguka na kuzimia.

Wana wakakimbia nikalala pale bahati Kuna Mzee alikuwa anapita na baskeli ndo kunishikashika akapenda kutoa taarifa shule walimu wakaja,nikapewa huduma ya Kwanza ndo kupata nafuu.

Kesi ilikuwa kubwa Hadi wazazi wallitwa Ila nashukuru yaliisha. Ila hawa watu wa kuitwa wapambe wabaya Sana, Wanakujaza mno nawe bichwa linavimba mpka basi.
 
Daah pole Kaka...kwahiyo ukajikuta van damme au sio 🤣🤣🤣

Ila wapambe sio watu kabisa....baada ya kuona umefloti wakasepa daah...lkn ndio Maisha yalivyo mkuu
 
Umenikumbusha mbali Mzee.

Mm nilipigwa Hadi nikazirai sababu ya kupenda sifa. Ilikuwa miaka ya 2000 Niko primary Mzee. Kipindi iko nipo darasa la 5 Nina wapambe Kama wote nikataka kupigana na dogo wa darasa la NNE. Ee hhana mechi ilipangwa ifanyike baada ya muda wa masomo.

Basi muda ulivyofika Wana wakanishtua na Yule mpinzani wangu akaambiwa twende uwanjani muda ndo huu. Aisee mm Nina wapambe Kama sutra jamaa yupo mwenyew. Wana wakanishikia viatu na begi ngumu zikaanza. Mara teke mara ngumu kwepa kwepa nikampatia ngumu moja Safi karibu na jicho aisee kumbe ndo nimemchokoza Simba nilikula mbata za mfululizo bila idadi Hadi nikaanguka na kuzimia.

Wana wakakimbia nikalala pale bahati Kuna Mzee alikuwa anapita na baskeli ndo kunishikashika akapenda kutoa taarifa shule walimu wakaja,nikapewa huduma ya Kwanza ndo kupata nafuu.

Kesi ilikuwa kubwa Hadi wazazi wallitwa Ila nashukuru yaliisha. Ila hawa watu wa kuitwa wapambe wabaya Sana, Wanakujaza mno nawe bichwa linavimba mpka basi.
😂😂😂Uwiii
 
Kwa hiyo kuanzia siku hiyo ako kajamaa ka la5 ukakaheshimu?
Tena siyo kukaheshimu tu na kukaogopa mazima!
 
Umenikumbusha mbali Mzee.

Mm nilipigwa Hadi nikazirai sababu ya kupenda sifa. Ilikuwa miaka ya 2000 Niko primary Mzee. Kipindi iko nipo darasa la 5 Nina wapambe Kama wote nikataka kupigana na dogo wa darasa la NNE. Ee hhana mechi ilipangwa ifanyike baada ya muda wa masomo.

Basi muda ulivyofika Wana wakanishtua na Yule mpinzani wangu akaambiwa twende uwanjani muda ndo huu. Aisee mm Nina wapambe Kama sutra jamaa yupo mwenyew. Wana wakanishikia viatu na begi ngumu zikaanza. Mara teke mara ngumu kwepa kwepa nikampatia ngumu moja Safi karibu na jicho aisee kumbe ndo nimemchokoza Simba nilikula mbata za mfululizo bila idadi Hadi nikaanguka na kuzimia.

Wana wakakimbia nikalala pale bahati Kuna Mzee alikuwa anapita na baskeli ndo kunishikashika akapenda kutoa taarifa shule walimu wakaja,nikapewa huduma ya Kwanza ndo kupata nafuu.

Kesi ilikuwa kubwa Hadi wazazi wallitwa Ila nashukuru yaliisha. Ila hawa watu wa kuitwa wapambe wabaya Sana, Wanakujaza mno nawe bichwa linavimba mpka basi.
Kwa hivyo ulikula vitasa vya nchi zilizoendelea.
 
Hahaaaaa
 
Uvulana ni shida Sana!

Ilikuwa mida ya jioni muda ambao maji ya bahari huwa sometime yamejaa vizuri sana na kukufanya uvutiwe kuogelea. Ilikuwa kawaida yetu siku moja moja kupenda kuogelea na kuinjoy beach.

Ilikuwa miaka ya 1998/99 huko kivukoni maeneo ya kigamboni, tukiwa watoto wa kota wa kile chuo ambacho kwa sasa kinaitwa Mwalimu Nyerere Memorial ila wakati ule kilikuwa kinajulikana kama chuo cha CCM Kivukoni. Kama unavyojua bahari ya Hindi iko karibu yetu kabisa, kwahiyo kuogelea siyo ishu kwetu kabisa.

Basi bwana siku ya kutaka kwenda kwa muumba wa mbingu na ardhi ilikuwa kama inani beep hivi. Kwa wale wakazi wa Kigamboni nadhani wanajua kuna ile minara ya kuongozea meli kuonyesha mipaka ya mwisho ambapo meli inatakiwa isiende nje ya hapo la sivyo yaweza kwenda nasa mchangani katika kina kidogo na huwa na taa nyekundu.

Sasa bwana kutokea ule upande wa kota zetu kuna mnara upo mbali kidogo kutoka nchi kavu na maji yakijaa ndiyo balaa zaidi. Basi bwana tukaweka ligi na mwamba mmoja tuende kwenye mnara na kupanda juu yake na kumpuzika kidogo na kurudi nchi kavu!

Dah sio poa kabisa, mwamba alikuwa anaenda sana ruti zile kwahiyo pumzi ya kutosha anayo. Sasa mimi bwana sikuwahi kwenda pande zile na kwa kukadiria ni kama mita 80 kutoka nchi kavu, na maji yamejaa kama yote. Kuhusu kuogelea niko vizuri lakini pumzi ikakata kama ilivyokata jana Kwa Mwakinyo! Sijui jamaa walijuaje kuwa mwamba pumzi ilikata, hilo nawaachia wao eti ndiyo maana mwamba akaona isiwe tabu ya nini kupigwa mbele ya dunia nzima wakati mpunga tayari ushasoma akaone isiwe kesi akachuchumaa!

Basi bwana pumzi ikakata na nishafika katika mnara bado kama mita tano tu niuguse na nipumzike! Dah kifo nakiona hiki hapa, unajua nilichoka mpaka maji sasa yamefikia kwenye kidevu yaani nanyanyua kidevu juu ili nisinywe maji. Nikaanza kukumbuka ndugu zangu, wazazi wangu na maisha yangu. Nilijua naondoka katika hii sayari ya dunia, na yule mwamba niliye kuwa naye yeye alishapanda juu ya mnara na kupumzika lakini baada ya kuona parapanda kama inaanza kulia hivi akajitosa kwenye maji na kuondoka.

Yaani alijua muda si mrefu nazama akaona hataki ushahidi ngoja asepe..

Tupate mambo yetu .

Naam, basi kama siku ya kuondoka haijafika aisee hauondoki ng'o, kumbe bwana kule nchi Kavu wadau walishaona bwege mimi nimeshazidiwa so ikahitajika back up kidogo. Huwezi amini alikuja dogo kama wa darasa la tano hivi na kidumu cha lita tano kuja kuniokoa. Kwahiyo mimi na yeye ndiyo tukakitumia hicho kidumu kwenda nchi kavu. Unajua ukiwa unajua kuogelea waeza hata kuokoka na mkungu wa ndizi kwasababu unachohitaji ni kujishikilia kidogo tu na ukaelea. Kiufupi hakika kweli Mungu yupo, ilikuwaje yule dogo apate ujasiri wa kuja na kile kidumu na kuniokoa sikupata majibu lakini nilijua Mola wangu ndio aliniokoa!

Kuanzia siku Ile ninayaheshimu maji, hata nikiogelea siwezi kwenda mbali kama sijafanya mazoezi ya kutosha! Nilitaka sifa kuonekana kuwa najua kuyakata maji kama kambale lakini mwisho wa siku ningerest in peace!

Wengine mnapenda sifa kuwang'oa warembo, wengine kuwa mnapiga pombe kali na mambo kama hayo, sifa zitawaponza mazee!

Ni hayo tu.
Kwa akili yako usikute dogo ulimpotezea tu kama ilikuwa kazi yake ...muheshimu sana huyo dogo asaiv ungekuwa unatumikia zambi zako za kuchakata mbususu ovyo mtaani.
 
Umenikumbusha mbali Mzee.

Mm nilipigwa Hadi nikazirai sababu ya kupenda sifa. Ilikuwa miaka ya 2000 Niko primary Mzee. Kipindi iko nipo darasa la 5 Nina wapambe Kama wote nikataka kupigana na dogo wa darasa la NNE. Ee hhana mechi ilipangwa ifanyike baada ya muda wa masomo.

Basi muda ulivyofika Wana wakanishtua na Yule mpinzani wangu akaambiwa twende uwanjani muda ndo huu. Aisee mm Nina wapambe Kama sutra jamaa yupo mwenyew. Wana wakanishikia viatu na begi ngumu zikaanza. Mara teke mara ngumu kwepa kwepa nikampatia ngumu moja Safi karibu na jicho aisee kumbe ndo nimemchokoza Simba nilikula mbata za mfululizo bila idadi Hadi nikaanguka na kuzimia.

Wana wakakimbia nikalala pale bahati Kuna Mzee alikuwa anapita na baskeli ndo kunishikashika akapenda kutoa taarifa shule walimu wakaja,nikapewa huduma ya Kwanza ndo kupata nafuu.

Kesi ilikuwa kubwa Hadi wazazi wallitwa Ila nashukuru yaliisha. Ila hawa watu wa kuitwa wapambe wabaya Sana, Wanakujaza mno nawe bichwa linavimba mpka basi.
Mkuu kamwendo Wapambe ni kama wajumbe, huwa hawana maana na hawafai Kanisani wala Msikitini !
 
Back
Top Bottom