Kutafuta utajiri

Huo ni ulimbukeni sasa, kwani wazee wetu miaka hiyo, mbona walikua hawtegemei hizi TIBA za kigeni je walikua hawaugui?
Hakuna kitu kibaya, upo unaumwa na hospitali zilizopo haziwezi kukutibu kutokana na utaalamu, alafu unaambiwa kuna daktari mzuri yupo ujerumani ambaye anaweza kumaliza tatizo lako, na ulitaka uende akakutibu ila kutokana na salio, ukajikuta umefia hapo wilayani.​
 
Shida ni kia wengine pia wamefika huko ila wakafariki, sema Nini tuombe MUNGU asitupe umasikini ni mtihani Kwa kweli
 
Poleee sanaa.
Coca Asante, but tangu kipindi kile coc, NA SEMA ni jinsi gani navutiwa nawe, nakupenda San basi tu, ila nihakikishie usalama nisije katwa kichwa na waja si unajua ubinadamu haupo tena siku hizi. MAPENZI yamegeuka tiketi ya kuondolewa duniani, daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…