Kutafuna kucha na utata !

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Ni hivi karibuni nimegundua nina tabia sugu ya kutafuna kucha za mikoni kiasi kwamba sikumbuki ni lini nilikata kucha kwa kutumia wembe au nail cutter, je hali hii inatokana na nini na ikiwa naweza kuiacha? Pia nina tabia ya kunawa bila gloves pale ninapomuwanda mpenzi wangu, je niko katika hatari ya maambukizi ya VVU kupitia kwenye kucha.
 
Back
Top Bottom