Kusomea Bachelor Degree ingine

Unasoma tu, as you said its all about dreams and future forecasting on which area itakua na opportunities!

Watu tunasoma hata masters 3 tofauti!
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ masters 3??
 
Thank you 😘
 
Kama umesoma Bsc with first degree unaweza apply medicine all the best
 
admission ya bachelor inategemea cheti cha a-level,
MD ni lazima pcb kwa guidelines za sasahivi labda bachelor environmental health science
Hapan tcu kama una bachelor ya chemistry au una bachelor ya bioz unaqualify kuanza md inamanisha kwamba unapiga Md kama umepiga bachelor kati ya kemia au biozi. Na unakuwa na sifa za kujiunga md au hamfatilii wazew
 
Screenshot au piga picha mahali tcu walipoandika hiyo qualification
 
2019 kurudi nyuma ilikuwa inawezakana kusoma degree ingine yeyote ya afya iwapo una degree ya physics, chemistry, mathematics, biology na zoology. Ndio itakayotumika kama entry aualification.

Mimi 2019 niliruhusiwa kusoma pharmacy kwa kutumia bsc mathematics, Kwa sasa sidhani kama kuna huo utaratibu nahisi waliufuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…