Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
NAUNGA MKONO HOJA KWA 100%..
Kusoma vitabu vingi bila kufanyia kazi ulichokisoma ni wastage of time and money..
Kusoma ni kuelewa,kufanyia kazi,mwishowe upate tija ya kile ulichokisoma..
Ila wabongo wengi sasa hivi wanafanya usomaji vitabu kama fashion flani hivi ila ukimuangalia huyo anaejifanya msomaji hafanyii kazi hicho anachokisoma..
Kusoma vitabu vingi bila kufanyia kazi ulichokisoma ni wastage of time and money..Unazingua mkuu! Elimu ni kile kinachobaki/ unachokikumbuka baada ya kusahau mengine. Sio ukisoma kitabu unategemea kuelewa kila mstari.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wasomaji wanasoma vitabu vingi hadi 60 kwa mwaka, ila katika hawa wasomaji wa vitabu wale walioelimika kupitia hivi vitabu ni mmoja kati ya wasomaji 20NAUNGA MKONO HOJA KWA 100%..
Kusoma vitabu vingi bila kufanyia kazi ulichokisoma ni wastage of time and money..
Kusoma ni kuelewa,kufanyia kazi,mwishowe upate tija ya kile ulichokisoma..
Ila wabongo wengi sasa hivi wanafanya usomaji vitabu kama fashion flani hivi ila ukimuangalia huyo anaejifanya msomaji hafanyii kazi hicho anachokisoma..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni lazima uelewe kitabu kinakufundisha nini na ndio lengo la kusoma vitabu, ukisoma viabu kama unavyokariri marking schemes au kusoma kwa juu juu bila kukielewa ni kupoteza muda.Unazingua mkuu! Elimu ni kile kinachobaki/ unachokikumbuka baada ya kusahau mengine. Sio ukisoma kitabu unategemea kuelewa kila mstari.
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu kwenye ulimwengu wa kujipimia mwenyewe msosi wa fikraNgoja nianze kusoma vitabu na Mimi
hebu nipe mwongozo nianze na vitabu ganikaribu kwenye ulimwengu wa kujipimia mwenyewe msosi wa fikra
we unaona maisha yako ya sasa unataka uwe bora kwenye kitu gani ambacho kwa sasa unatamani kukiwezahebu nipe mwongozo nianze na vitabu gani
we unaona maisha yako ya sasa unataka uwe bora kwenye kitu gani ambacho kwa sasa unatamani kukiweza