Kusoma sana sio kufanikiwa

Kusoma sana sio kufanikiwa

Sasa tuache kuilaumu Elimu.
Elimu inategemea na mtu mwenyewe,unakuta elimu hiyohiyo ya darasa moja, mmoja inamsaidia mwingine inampoteza. Inategemea na akili ya mwenye elimu.
😁😁😁ni kama bangi wengine zinawatuma vizuri wanakuwa magenius,wengine wanakuwa mafala.Why wewe inakuharibu!?
 
Mimi kuna dogo alikuwa kilaza kweli ..

hakufaulu ..

Leo ana magari
 
Nadhani hujakosea. Huyo rafiki yako alikuwa na lengo la kusoma sana ili aje kuwa rais wa nchi hii. Kumbe hakuchaguliwa kwa sababu haikuwa bahati yake.
Mwambie alisomea kazi adimu saana duniani. Fikiri kidogo. Mtu unajitutumua kwenda kusomea Accounts mpaka CPA huku ukijua kabisa kwenye ukoo wenu hakuna hata mwenye duka la mitumba. Unataka kuja shindana na CAG huoni una tatizo??
Wenzako walisomea kilimo, mifugo, uvuvi. Huyo unadhani alisoma ili aje kuwa katibu mkuu wa wizara?? Hapana. Kama atateuliwa it is ok. Lakini wakichelewa kumchagua, watamkuta sokoni akiuza samaki wake aliofuga mwenyewe, watamkuta akiuza mayai, watamkuta akiuza maparachichi.
Utaalam wake ameutumia vizuri. wewe ngojea kuajiriwa. Wamepunguzwa waliokuwa "Hewa" tukadhani sasa tutaonekana wenye vyeti! Hola mpaka leo 3 yrs. Lazima mtu uone kusoma hakufai. Walioenda kujiajiri mashambani wanapasua anga. Sikujua kuwa kumbe hata mkulima aweza uza mazao yake akaamua kupanda Bombadier kutoka dasilama kwenda dodoma angalao aonekane akitokea uanja wa ndege na copy ya tiketi.
Vijana someni hadi wakuambie; Hakuna tena ubao mwingine kutoka hapa
 
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
"Lengo kuu la kuanzisha system ya elimu was never to stop people from living. Rather, to make people experience life in a wider understanding".. Elimu inaleta maarifa na kutumia maarifa maisha yanarahisika, Elimu haina umuhimu katika maisha bali maarifa yatokanayo na elimu ndio muhimu. Wengi wana elimu lakini hawana maarifa.
 
Ahsante sana mkuu.. Umenipaa mwangaza sana

Be Blessed brother
Nadhani hujakosea. Huyo rafiki yako alikuwa na lengo la kusoma sana ili aje kuwa rais wa nchi hii. Kumbe hakuchaguliwa kwa sababu haikuwa bahati yake.
Mwambie alisomea kazi adimu saana duniani. Fikiri kidogo. Mtu unajitutumua kwenda kusomea Accounts mpaka CPA huku ukijua kabisa kwenye ukoo wenu hakuna hata mwenye duka la mitumba. Unataka kuja shindana na CAG huoni una tatizo??
Wenzako walisomea kilimo, mifugo, uvuvi. Huyo unadhani alisoma ili aje kuwa katibu mkuu wa wizara?? Hapana. Kama atateuliwa it is ok. Lakini wakichelewa kumchagua, watamkuta sokoni akiuza samaki wake aliofuga mwenyewe, watamkuta akiuza mayai, watamkuta akiuza maparachichi.
Utaalam wake ameutumia vizuri. wewe ngojea kuajiriwa. Wamepunguzwa waliokuwa "Hewa" tukadhani sasa tutaonekana wenye vyeti! Hola mpaka leo 3 yrs. Lazima mtu uone kusoma hakufai. Walioenda kujiajiri mashambani wanapasua anga. Sikujua kuwa kumbe hata mkulima aweza uza mazao yake akaamua kupanda Bombadier kutoka dasilama kwenda dodoma angalao aonekane akitokea uanja wa ndege na copy ya tiketi.
Vijana someni hadi wakuambie; Hakuna tena ubao mwingine kutoka hapa
 
Tatizo wengi wanasoma bila kuwa na malengo wala mikakati. Hawana clear picture ya nini wafanye ili wafikie mafanikio yao baada ya kusoma.

Ili mtu afanikiwe, awali ya yote lazima awe na picha halisi ya kile anachofanya, awe na ramani, mipango na mikakati.
 
Back
Top Bottom