Kusoma sana sio kufanikiwa

Kusoma sana sio kufanikiwa

Joined
Aug 9, 2018
Posts
95
Reaction score
294
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
 
Unasoma ili uweke ndio cha msingi kama unasoma tu bila plani basi unasoma sana kama unaplani uwe umesoma hujasoma utafanikiwa kwa Plano zako
 
Kusoma faida IPO maana wataajiriwa na waliofanikiwa wasiosoma.... Hapo vipi
 
kuna mawili
1.kusoma ili kiokomboa elimu
2.kusoma ili elimu ikukomboe
 
Mapungufu ya mitaala hayahusishi elimu na uchumi/uwekezaji/ujasiriamali. Bado tunakumbatia elimu na"white color job" . Wakati asiyesoma anapambana na mbinu za kuishi msomi anapambana na ajira (white color job).
 
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
Kusoma sana ni kufanikiwa kimaisha, inategemeana na maamuzi ya aliyesoma anaitumia aje hiyo elimu.
Unaouita ni ushauri sio ushauri, labda ulijaribu kumliwaza japo hata hayo maneno uliyotumia nayo hayamjengi bali kumbomoa.
 
Uhalisia wa maisha hauna uhusiano wa moja kwa moja na elimu tunayopata. Baadhi ya mambo yanayochangia watu kuwa mtaani ni;
1. Mfumo wa Elimu ya kikoloni isiyozingatia maisha halisi ya kiafrika
2. Kuzidi kwa sagansi na technologia kunakopunguza handwork na kwenda kwenye komputerised sytems
3. Wasomi kuwa wengi huku fursa za ajira zikiwa zilezile

Ili kutoboa kijana inabidi;
1. Akili yake aiandae akiwa bado yuko chuo kuwa ajira hamna na kama nikipata basi poa..
2. Aandae mazingira ya kujiajiri akiwa bado yuko chuo. Inawezekana.
 
Kusoma sana ni kufanikiwa kimaisha, inategemeana na maamuzi ya aliyesoma anaitumia aje hiyo elimu.
Unaouita ni ushauri sio ushauri, labda ulijaribu kumliwaza japo hata hayo maneno uliyotumia nayo hayamjengi bali kumbomoa.

👏👏👏👏
 
Unaweza kuwa sahihi, kusoma sana bila kuelimika sio mafanikio ila ukisoma ukaelimika unaweza kutumia elimu uliyonayo kama mtaji wa kwanza kabla hujapata hela
 
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
We naye ni mkuda kweli, yaan ndo ukaona umuandikie uzi kabisa?
 
Kuna rafiki yangu ana degree kamaliza UDSM ""Mlimani campus "". Wakati anasoma alijua akimaliza anapata kazi maisha yanaenda. Katafuta kazi kwa miaka mitatu bila mafanikio mwisho kakata tamaa kaishia kuwa mlevi. Nikamshauri kusoma sana sio kufanikiwa.
Sikuhizi Kajiajiri Anauza Mitumba Kariakoo
Pia tungefaham tafsiri ya kufanikiwa ni ipi, naomba kujua mtu ukisema kijana fulan Kufanikiwa, nini kinakua kimepimwa!
 
Back
Top Bottom