Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,856
- 33,579
Tunaishi Tanzania na sio huko kwenye kampuni za Benz na Apple,na tunaishi kulingana na mazingira yanavyituhitaji.Kama wewe ni majiriwa na takwa kuwa na degree ya pili basi lazima utafanya hivyo vilvile kama umejiriwa private basi kuna ushindani na sofa za ziada zitakuwezesha kukabiliana na ushindani wowote utakaojitokeza.Kwani elimu kubwa sana ina umuhimu kufika ngazi hizo? Taasisi au kampuni zote duniani zinazofanya vizuri vyeti vyako watu wataviangalia ngazi ya entry level ila kuanzia hapo hamna atayetaka kujua umesoma mpaka ngazi ipi. Kitu cha muhimu watu watataka waone kazi ulizowahi kufanya na sio elimu yako.
Unafikiri kampuni kama Benz au Apple wakitaka chief designer watataka kujua umesoma mpaka Master's /Ph.D? Wao kitu cha msingi ni kazi zipi umewahi kufanya. Hata hapa hapa bongo maeneo wanayojielewa elimu sio hoja. Vodacom waliwahi kuwa na CEO mwenye umri chini ya miaka 30 na alikuwa na shahada moja tu. Baada ya yeye kuondoka walikosa mtu hapa wakatafuta kutoka nje.
Sawa Dr wansegamila🤓🤓🤓🤓Sasa kumezesha watu hizo referencing styles sijui APA, sijui Vancouver, na yenyewe ni ishu ya kujivunia? Hizo makitu unaingiza tu details za unachotaka kureference kwenye software (eg Mendley, Zotero, etc), una select referencing style unayotaka kama ni APA, kama ni Harvard, whatever you want, inakuchapia reference hapo fasta.
Mkuu karibu vyuo vyote vya uma Tanzania waalimu wameelemewa na wanafunzi kuanzia undergraduate mpk postgraduate.Hapana hii sio hoja kama issue ni wingi wa wanafunzi wa masters na PhD,ni issue ambayo ipo ndani ya management ya chuo maana wanaweza wakapunguza udahili wa wanafunzi uendane na idadi ya Walimu.
1.Mimi nimefatilia sana hivizuri ,kitu nimegundua ni kuwa Wahadhiri wa UDSM 95% hawapo responsible katika kazi zao na hiyo imetokana na mazoea waliyojiwekea huko miaka ya nyuma kuwa sio lazima watu wamalize kwa wakati-kiufupi wanafanya kazi kama ambavyo Watumishi wa Umma wengi wanafanya katika Taasisi mbalimbali za Serikali.
2.% kubwa Wanafunzi wanajihangaikia wenyewe ndio maana ukiwa haupo vizuri au kama umezoe spoon feeding UDSM utaumia sana.
3.Management ni mbovu sana kuanzia wahusika wanaotakiwa wasimamie chuo mpaka kwa vice chancellor.
Mimi niligundua hilo mapema nikakimbilia SUA mkuu. Pale UDSM kuna wahadhiri vilaza na conservatives sijawahi kuona hapa ulimwenguni.Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Msala unaanzia kwenye proposal
Elimu ya bongo ngumu Sana, tunazalisha wasomi wajinga wengi, kwa ninachokiona kinaendelea huko mahakama ya usuruhishi wa migogoro, ni aibu, mawakili wetu wanauliza maswali kama vile wamefumaniwa, mbele ya ngozi nyeupe, wamekuwa wanyonge kama mbwa mbele ya chatu,Mimi niligundua hilo mapema nikakimbilia SUA mkuu. Pale UDSM kuna wahadhiri vilaza na conservatives sijawahi kuona hapa ulimwenguni.
Nakubali[emoji817]Taasisi za elimu za Tanzania katika uendeshaji wake wa kitaaluma huwa zinaamini katika kumbana mwanafunzi na kumdhibiti asionyeshe uwezo wake personally ambao anao katika hiyo principle anayosomea.
Mfano uongeze findings zako utashangaa mwalimu anakuwekea bifu kwamba unajifanya unajua sana.
Matokeo yake tunauwa ile dhamira ya vijana kujifunza na kubakia kuwa watwana na maketeka wa mfumo ambao hata wakimaliza 90% ya contents ni inapplicable kwenye market.
Hebu leo tafuta wahitimu wa degree wa vyuo tofuti wakuonyeshe wanachoweza fanya ambacho wamejifunzia chuoni utagundua wengi wao wanaishi kwa kanuni za mtaa na wana apply kidogo sana vile darasani.
Duh!...unatutisha mkuuUsijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Nakubali[emoji817]
Kiufupi bongo sio pa kusomea post graduate. Ujinga ujinga mwingi sana.
Hapana hii sio hoja kama issue ni wingi wa wanafunzi wa masters na PhD,ni issue ambayo ipo ndani ya management ya chuo maana wanaweza wakapunguza udahili wa wanafunzi uendane na idadi ya Walimu.
1.Mimi nimefatilia sana hivizuri ,kitu nimegundua ni kuwa Wahadhiri wa UDSM 95% hawapo responsible katika kazi zao na hiyo imetokana na mazoea waliyojiwekea huko miaka ya nyuma kuwa sio lazima watu wamalize kwa wakati-kiufupi wanafanya kazi kama ambavyo Watumishi wa Umma wengi wanafanya katika Taasisi mbalimbali za Serikali.
2.% kubwa Wanafunzi wanajihangaikia wenyewe ndio maana ukiwa haupo vizuri au kama umezoe spoon feeding UDSM utaumia sana.
3.Management ni mbovu sana kuanzia wahusika wanaotakiwa wasimamie chuo mpaka kwa vice chancellor.
Tatizo letu watanzania Kila mtu anajua Kila kitu. Watanzania inabidi tujifunze kuheshimu kazi za kitaalamu. Mkuu unataka Prof. asikufundushe theory za research bali akufundishe softwares kama hiyo software ndio inayofanya research!!!!
Hivi ukienda field ukatumia hiyo software kwenye data analysis ikakupa r=0.5 utafanya nini? Unataka ufundishwe software atafundisha ngapi sababu karibu Kila mtu atatumia software tofauti na mwingine kuanzia kwenye kudesign study na kufanya data analysis.
Halafu pia software zinakuja mpya Kila siku je ukihitimu nani atakufundisha software mpya huko makazini?
Software zinakuja na user manual na Kuna video kibao you tube kwa Kila software unaweza kuangalia ukajifunza ina haja gani kufundisha?
Assumption ni kwamba ukienda field utakuta watu kwenye research group watakufundisha kwa hiyo si kitu kigumu sana kama unajua kufanya research.
Pia software nyingi zina customer contacts email yaani ukiandika tu hapo hapo mtu anakujibu kukusaidia mpk kukusaidia kurepair software yako Kama haifanyi kazi vizuri. Sasa hapo Kuna haja ya kufundisha software badala ya kufundisha namna ya kufanya research?
Halafu kwa Sasa Kuna vyuo vingi kwa nini unakomaa udsm wabadili standards zao na usiende kwenye vyuo ambavyo vina standard unayoitaka?
Mama Abdul alipewa Phd hapo niliwashangaa sana.Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.