Siku hizi wana online supervision tracking system. Kama kuna mtu amalizi bado tatizo haliwezi kuwa la wasimamizi tu. It's very easy kufanya tracking ya supervision. Kila kitu ni online, unamtumia kazi supervisor kwenye mfumo ambao kila mtu anaweza kuona lini ulituma na supervisor anasoma na kurejesha feedback kwa mfumo huo huo ambao uko tracked. Bila shaka hili litakuwa limeondoa shida ya supervisors hawasomi kazi. cariha rudi tena, huwezi kukaa sana hahaNadhani kuwe na deadline Kwa wahadhiri na wanafunzi pia.kama mhadhiri anasimamia research apangiwe muda wa kusahihisha na kutrudisha Kwa mwanafunzi na mwanafunzi nae iwe hivyo hivyo.na wahadhiri wa repotiwe wasiporudisha Kwa wakati.wanafunzi wasingekua na malalamiko.rafiki wawili hawajamaliza mpaka leo.wamejikatia tamaa.mbona walimu wa Nje wanawekewa deadline ya kupost grade za wanafunzi wao.wahadhiri wa bongo hawawajibishwi.
Sasa mkuu huoni hapo kuna tatizo? Yaani hujui alafu unampa mtu akufanyie tena? Sasa chuo unaenda kufanya nini kama sio kujifunza hayo?Unajua kwanini watu wengi hawapendi na hawajui (majority) kufanya tafiti..
Kufundishwa APA ni jambo Moja kutumia ni jambo lingine...
Wengi wetu hatujui kanuni za kufanya utafiti.....Na ndio maana mtu yupo tayar kufanyiwa utafiti wake na mtu yeye akaenda ku present....
Mlio enjoy but majority wanalia fanya research. Ur missed aiseePoleeeee....hata hivyo hili liko kwa watu wachache. Mimi nilisoma pale nikapa-enjoy sana
Mie enzi nahangaika hakukuwa na hii online supervision nadhani imeanza Haina hata miaka mitatu maana hii changamoto ya supervisor ilikuwa kero Kwa kweli kutokujali Kuna Dr wa pale alinambia wamekuwa strictly Kwa wasimamizi hapo ukichelewa ni weweSiku hizi wana online supervision tracking system. Kama kuna mtu amalizi bado tatizo haliwezi kuwa la wasimamizi tu. It's very easy kufanya tracking ya supervision. Kila kitu ni online, unamtumia kazi supervisor kwenye mfumo ambao kila mtu anaweza kuona lini ulituma na supervisor anasoma na kurejesha feedback kwa mfumo huo huo ambao uko tracked. Bila shaka hili litakuwa limeondoa shida ya supervisors hawasomi kazi. cariha rudi tena, huwezi kukaa sana haha
Wewe hujui datc unacomment....Mm nimeandika research za wengi yaan kazi iliyo baki ni ku soma na ku memorise kama desa......Sasa mkuu huoni hapo kuna tatizo? Yaani hujui alafu unampa mtu akufanyie tena? Sasa chuo unaenda kufanya nini kama sio kujifunza hayo?
Ulivyokuwa mbishi sijui naanzia wapi kukupanga😂oooh...naona unanipanga....
haya bana nipange nipangike!
😀
😂Ulivyokuwa mbishi sijui naanzia wapi kukupanga😂
🤣🤣🤣🤣🤣😂
😂
😂
😂
😂
😂
........kuraaa chuma hichoo....
Udsm wanapjga sana pesa za mama.. kumbuka enzi za jiwe kwa pesa za ndani hapo udsm wamefanya mambo mengi sana.. wamejnga ukuta, barabara na baadhi ya majengo.. lakini leo wanakula tuu mapato ya ndaniWazee wa Marathon na GAWIO enzi za Jiwe
🤣🤣🤣🤣🤣
Njoo basi utoe maoni yudizim waboreshe mazingira watu tuchukue shahada zetu kiurahisi.
Au hutaki tumalize shule?😂
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio...Sasa kma kaukwaa uwaziri je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko zangu UDSM hapa, nataka niunge Masters moja kwa moja.Wee wacheka tu mdg angu vip ulipita pale au ulisoma chuo Cha afy ya peramiho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbombo ngafuSasa kati ya mzumbe na udsm ipi nafuu kwa level hyo hyo master
Mbna watu tunalia na mzumbe Hadi wengine tumeingia mitini ......siwezi kujianika Sana [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chuo Kikuu Ni SUZA tu
Kwahiyo Mkuu unataka na sisi tusote kama mlivyosota😆Nilivyo low-key nikija waweza nistukia nikiwa naongea Kingereza changu cha America,utanistukia tu!
Sikanyagiiii
Mi nshamalizaga miaka hiyo Engineering inaitwa CoET miaka ya Luhanga alitufundisha Circuit Systems
Wee komaa tu mama,hamna namna!
Siku hizi si nasikia bwerereeeee
.....kuraaaa chuma hichooo.... 😂
Leo nimekaa na watu nazungumzia kuhusu Masters, mmoja kadakia, "yaan kwa ugumuu na tabu hii ya bachelor bado unawaza kusoma postgraduate hapa tena hivi karibuni??"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo basi utoe maoni yudizim waboreshe mazingira watu tuchukue shahada zetu kiurahisi.
Au hutaki tumalize shule?[emoji23]
njoo SUZAPaundwe Kamati teule ichunguze hili jambo
Heri uunganishe kuliko kupumzika.Leo nimekaa na watu nazungumzia kuhusu Masters, mmoja kadakia, "yaan kwa ugumuu na tabu hii ya bachelor bado unawaza kusoma postgraduate hapa tena hivi karibuni??"
Watu tumechekaa leo, UD ni kisangaa kwa kukomoa wanafunzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili ipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko zangu UDSM hapa, nataka niunge Masters moja kwa moja.