Nchi hii bhana yaani kuna mtu amekaa akawaza weee na kuwazua akaona kwamba kusoma vyuo kama Oxford,Cambridge na Havard ndio unaweza mshauri Rais wa Tanzanaia
Wanasahau kwamba HAKUNA Rais hata mmoja wa Tanzania hii amewahi soma hivyo vyuo
Sometimes sikilizeni kwanza mnayoambiwa
#ChangeTanzania
Atakuwa alimaanisha wanakuwa washauri wa malikia au viongozi wakuu kwenye hizo nchi za kimagharibi, hata kwa Tanzania hatutarajii achukuliwe tu kilaza akatoe expert opinion kwa rais