Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Una mtaji wa kufanya biashara?Habarin wapendwa
Naomba tushauriane kuhusu maisha, hv kufanya biashara na kusoma kipi ni bora kwa maisha haya..
Nilimaliza form 4, miaka 7 iliyopita nilipata 3 ila comb hazijabalance. Nikaenda college nikachukua diploma miaka mitatu nikamaliza, lakin sijapata kazi mpaka leo.
Sasa mr, ananiambia jiandae mwakani unarudi shule na ananiambia nibadilishe coz, maana coz niliyo isoma ni ngumu sna kwa level zangu kupata kazi.
Nawaza umri huu niende nikaanze certificate ntamaliza lini jaman,, nikamwambia naomba nifanye biashara ambayo nitaweza kuisimamia akasema biashara nisawa utafanya lakin nataka uende shule akaanze certificate mpaka degree kama Mungu atakujaalia.
Nikajaribu kumuhoji mbona umenijia na mawazo magumu hv. Anasema maisha ni mafupi sijui kesho tutaamkaje ikitokea amekufa basi niwe na elimu ambayo inaweza ikanisaidia kulea famila japokua tupo vzr kiuchumi lakin kama sna elimu nitajikuta nikitumia mali vibaya na kufanya familia yake iteseke.
Kwa kweli amenipa mawazo sna, nisijue cha kufanya hiyo yote imetokana na Eng:mwenzake amefariki kwa ajari na kumuacha mkewe akiwa na watoto wanne alafu mkewe hajui kusoma wala kuandika.....
Embu nipeni ushauri ndugu zangu umri huu, na nina watoto wawili kwenda kuanza certificate mpaka nimalize ni leo kweli??
Akikupa ada kaanzishe biashara!kama unaona elimuni mali jaribu ujinga!Habarin wapendwa

Hapa tulipo tuna biashara mbili, duka la jumla, na nyingine duka la vifaa vya ujenzi.Una mtaji wa kufanya biashara?
Nenda kapige shule ila usikae mbali na hizo biashara.Hapa tulipo tuna biashara mbili, duka la jumla, na nyingine duka la vifaa vya ujenzi.
Kwahiyo mkuu usizungumzie kuhusu mtaji, zungumza kuhusu kurudi shule au nifungue duka la vipodoz niuze ndo plan iliyopo sasa
Nionavyo mm, hana maana ya kusoma ili niajiliwe ila anataka niwe na ufaham zaidi, endapo itatokea case yoyote niweze kuisimamia vzr. Maana watu wanaajiliwa ili wapate pesa ila kwangu pesa sio tatizo, tatizo niwe na ueleawa mpana wa kun'gamua mambo.Hivi diploma holder na degree holder kimawaza na mtazamo kuna gape kiasi gani?, kama umeshindwa kupata ajira kwa diploma kwa degree ndo itakaa mbali zaidi.
Mimi binafsi elimu yangu ni ndogo tu na ninaamini nina ufahamu wa kunitosha tu kuweza kutafuta mali licha ya wewe umeambiwa kuzisimamia na ninaweza kuchambua mambo ya ulimwengu huu.
Hakika ukisoma vitabu, kutazama habari, kuingia jf,ni zaidi ya PhD,.Kuna mbaba kazini kwetu ana Masters lakini kuna mambo ya kitaalamu namsaidia mara nyingi tu licha ya mimi kuwa na elimu ndogo.
Bonge la ushauri mkuu, [emoji120] [emoji120] [emoji120]Education Vs Business,Which one is better?.
Hakuna jibu la moja kwa moja juu ya Swali lako kama linavyojieleza hapo juu.Kinachokuchosha wewe ni kufikiria miaka mitatu ya kurudi Shule ilhali hata kozi uliyoisomea hujaona matunda yake.Kwanini usirudi shule na kuongeza Elimu ya suala lingine?.Kwanini usiachane na Shule na kuamua kufanya Biashara?.Kwanini usi-apply Elimu ya Juu?.Ni lazima tu urudie Diploma au hata Elimu ya chuo kikuu?.
Katika ubora wake,Francis Bacon anakuambia kuwa "Education is Power".Katika Maandiko matakatifu Mfalme Solomon anatuasa juu ya Umuhimu wa Elimu katika kitabu cha Mithali 4;13-Mkamate sana Elimu usimuache aende zake,Mshike,maana yeye ni uzima wako.Kadhalika katika Maandiko Tukufu "Quran" kuna ushahidi huo vile vile "IQRA".
Shuhuda za hapo juu zinajieleza bayana juu ya Umuhimu wa Elimu.Elimu ni msingi wa kila kitu na chochote kile Kitafanyika katika ubora uliotukuka kama Elimu imo ndani yake.
Jibu la kipi sahihi cha kufanya kati ya Kwenda chuo kwa miaka mitatu au kufanya Biashara unalo ila nadhani umekuja humu kutafuta Uungwaji mkono kati ya kipi sahihi kati ya machaguo yako.Kaa chini na ujisaili kila ukionacho,ukisikiacho na chochote ukisomacho kwa mustakabali ya hatima ya Maisha yako.
All the best.
Ahsante sana Mama.Bonge la ushauri mkuu, [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Swali murua sana Mkuu kwa Bidada Veronica7598Wengi wanaamini Mke hasomeshwi! Akikusomesha imekula kwake!! Sasa jiulize kwanini jamaa anataka usome?
Ivi unasomaje diploma alafu urudi tena certificate?? Hiyo diploma haifai kwenda degree moja moja?? Au una gentomeni gpa??
Mi naona hapo unasoma ili uajiliwe na hataki ujiajili ,ni sawa kusoma coz elimu haina mwisho lkn pia angalia ulipo na unapokwenda km uwezo wa kufanya biashara unao Fanya biashara lkn km unapenda kuajiliwa endelea kusoma tu mama ,lkn kuajiliwa ni utumwa pia unaweza kukaa wiki nzima ujaonana na watoto upo busy tu mda wote kumuingizia mwingine pesa ,Habarini wapendwa,
Naomba tushauriane kuhusu maisha, hivi kufanya biashara na kusoma kipi ni bora kwa maisha haya?
Nilimaliza form 4, miaka 7 iliyopita nilipata 3 ila comb hazijabalance. Nikaenda college nikachukua diploma miaka mitatu nikamaliza, lakini sijapata kazi mpaka leo. Sasa mr, ananiambia jiandae mwakani unarudi shule na ananiambia nibadilishe coz, maana coz niliyoisoma ni ngumu sana kwa level zangu kupata kazi.
Nawaza umri huu niende nikaanze certificate nitamaliza lini jamani, nikamwambia naomba nifanye biashara ambayo nitaweza kuisimamia akasema biashara ni sawa utafanya lakini nataka uende shule akaanze certificate mpaka degree kama Mungu atakujaalia.
Nikajaribu kumuhoji mbona umenijia na mawazo magumu hivi. Anasema maisha ni mafupi sijui kesho tutaamkaje ikitokea amekufa basi niwe na elimu ambayo inaweza ikanisaidia kulea famila japokua tupo vizuri kiuchumi lakini kama sina elimu nitajikuta nikitumia mali vibaya na kufanya familia yake iteseke.
Kwa kweli amenipa mawazo sana, nisijue cha kufanya hiyo yote imetokana na Eng: Mwenzake amefariki kwa ajali na kumuacha mkewe akiwa na watoto wanne alafu mkewe hajui kusoma wala kuandika.
Embu nipeni ushauri ndugu zangu umri huu, na nina watoto wawili kwenda kuanza certificate mpaka nimalize ni leo kweli?